Kule kwa Michuzi na Haki niliuliza ni kwanini haya matawai yanazagaa sana Asia and UK? Hakuna aliyenijibu, but i still believe there is something behind this CCM global Invasion.
There is nothing wrong kuanzisha tawi la CCM, lakini inatia mashaka kuona haya matawi yanayofunguliwa kila kukicha pasipo agenda. Swali linakuja jee kuna baadhi ya watu wanataka kufaidikika kwa njia moja au nyingine?
Nimeona hasa UK ufunguzi unaenda sambamba na balozi wa Tanzania hapo UK. Jee huyu balozi ni political figure au neutral? Jee what is the common purpose za yeye kualikwa kwenye ufunguzi wa haya matawi? Swali gumu ninalo jiuliza ni " is this movement affiliate with CCM network expansion"?
Jee Watanzania member wa haya matawi wanabefit vipi? Maana pale UK kuna jamaa mmoja nasikia yeye ndie anaenzisha hizi movement na kisha yeye ndie anapata check kutoka makao makuu, jee swala zima ni kutanua ufusadi?
Mimi nimetiwa moyo na hotuba ya kijana Nape ambayo ninayo mdau kanitumia mkiitaka nweza wweka hapa,moja ya mabo kawaambia vijana CCM ina mapungufu mengi yanayohitaji kujadiliwa na kiubadilishwa na vijana,so kama nia ni hii nadhani ni sawasawa....
Kitia
Manufaa ya matawi kwa sasa si faida kwa Nchi bali wajanja kutumia nafasi kujitangaza na biashara zao na kupata tender na si zaidi ya hapo .Wanajua ukitaka kula na CCM beba bendera lao muda wowote na popote then utawasikia wanavyo kupa sifa na kula pesa .Ukweli upo wazi kwa baadhi ya Nchi sasa wadau wa CCM wanapate tender nono na ndiyo njia pekee CCM wanadhani chama chao kina nguvu .
Ukijaribu kuangalia tuseme asilimia themenini ya hao viongozi wa hayo matawi huko ughaibuni utagundua kuna majina ambayo yameshazoeleka ya watoto wa vigogo. Hakuna kabwela kwa hiyo kwa upande mwingine ni mwendelezo wa vizazi na vizazi katika kuurithi ufalme huo wa Tanzania kupitia chama tajwa.
Mtanganyika,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni;
Ni wapi balozi amealikwa kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM UK?[/QUOTE
Maajar kama sio yeye mme wake yupo kumrepresent kwenye hizi openings..i think she is naive..she is doing it to please watz ughaibuni kumbe ajui kuna mafisi wenye agenda zao...
Kuna kiongozi wa shina moja la CCM huku UK , nilikutana nae na akasema kwanza wana biashara nyumbani (Mkoa bila bahari) na kwakuwa CCM ndo chama tawala ni vyema aaanze kuwa karibu nao sasa irahisishe mambo akirudi..this is first hand info..sasa nyie mnaongea sera sera oooh madiliko na kuhusishwa vijana mpo???...najua kuna wale wenye nia njema lakini you are all being taken for a ride ...lets say it as we see it people and stop beating around the bush!!
Lunyungu,
Unalolisema "nadhani" ndilo lililokuwa nia ya wajanja wachache wakati Tawi la London linaanzishwa lakini; ila kwa sasa ninavyojua mimi hakuna mfanyabiashara anayefadhili chama tawi la London kwa hela nyingi kuliko wanachama. Nimedadisi kwa karibu nikagundua kuwa asilimia kubwa Tawi linaendeshwa na wanachama wa kawaida kama mimi na wewe..sasa hawa ndugu zetu wana nia gani; time will tell.
Kama ni tawi la north london..ofisi ni internet cafe moja ya mmbongo..rent inalipwa na chama ,hiyo yeye inatosha kwake kuwa mwanachama (kiufisadi) ..kikwete akifika lazma aalikwe..na wengine watangaze Business proposal zao ili wazifanikishe bongo kama INVESTORS!! kUMBE.........
Hawa watu wa UK na Asia wanaofungua haya mashina ya CCM wanaboa kweli. I'll put em on blast this coming sunday. I just can't stand them grrrrrrrrrr.
Mtanganyika,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni;
Ni wapi balozi amealikwa kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM UK?[/QUOTE
Maajar kama sio yeye mme wake yupo kumrepresent kwenye hizi openings..i think she is naive..she is doing it to please watz ughaibuni kumbe ajui kuna mafisi wenye agenda zao...
Kuna kiongozi wa shina moja la CCM huku UK , nilikutana nae na akasema kwanza wana biashara nyumbani (Mkoa bila bahari) na kwakuwa CCM ndo chama tawala ni vyema aaanze kuwa karibu nao sasa irahisishe mambo akirudi..this is first hand info..sasa nyie mnaongea sera sera oooh madiliko na kuhusishwa vijana mpo???...najua kuna wale wenye nia njema lakini you are all being taken for a ride ...lets say it as we see it people and stop beating around the bush!!
Kwa hiyo lolote au popote anapokwenda Mzee Maajar ni kwamba anamuwakilisha mke wake KIOFISI..!! Hivi ndivyo unavyotaka watu wenye akili zao timamu hapa waamini?
Kiofisi Mama Balozi ni muwakilishi wa Watanzania wote; na sio kwamba mnahitaji niseme ila wote mnajua "She is doing a good job" kuwaunganisha watanzania wa UK. Kwa hilo hata mimi kabwela huku nilipo nampa mkono wa pongezi; mengine namuachia JK na timu yake. Kama balozi ameamua kumsindikiza mumewe kwenye hafla yoyote, huwezi kumuhukumu yeye kiofisi kupitia mumewe. Tena, ukizingatia mumewe hajavunja sehria yoyote.
Sitaki hii debate ya "Mume na Mke" ipoteze muelekeo wa mjadala lakini naamini mwenye kutafakari watakuwa wameelewa nasema nini.
Hili nalo sasa linataka kuwa tatizo kubwa sana, na limeanzia London, kuna watu pale wenye nia njema, lakini kuna wanaotaka kujipatia ujiko, nina wasi wasi kuwa balozi wa pale ni naive sana, au na yeye anafikiri ni ujiko ku-entertain huu ujanja ujanja,
I mean nina heshima sana na mama Balozi, lakini hili la matawi ya CCM, halijakaa sawa, labda watoe maelezo zaidi, otherwise ninakubaliana na wachangiaji wengi hapa kuwa ni ujanja wa baadhi ya wananchi kujaribu kujisogeza na the powers! Sasa tatizo litakuja kwa wale wasiojihusisha je itakuwaje?
Hili la India ni kero kubwa.Pia tumedhamiria yafuatayo
1.Wale wote wenye kiu ya mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi Tanzania tulioko India na hasa Vijana tuungane kwa pamoja kukabiliana na CCM yaani tufungue matawi ya Vyama Mbadala na hili suala tumeshatoa taarifa huko nyumbani kwa watu wa opposition.
2. Kupitia matawi yetu haya tufanye ku-breed wanasiasa wenye damu changa ambao ndio itakua chachu ya mageuzi na kuwapa moyo wenzetu wengi walioko nyumbani kwa kuunganisha nguvu zetu pamoja ili tukirudi huko tuongeze kasi ya mapambano kama wale askari wa kiafrika walionda kupigana vita ya dunia na kurudi Afrika kuanzisha vuguvugu la Ukombozi
3.Watu wote watakaokua na mawazo kinzani na CCM wataungana bila kujali itikadi ya CHAMA lakini tuunde upande wa watu wa opposition ili tupambane na CCM kwa nguvu kubwa na hata ubalozi wa huku ujiandae kwa hilo na tutaona mwisho wake nini.
Kwa sasa wanachama wapo tayari bado kufungua tawi tu.
Pia kama miaka michache ijayo watu wa nje wataruhusiwa kupiga kura basi kura za opposition huku zitakua pia safe bila ramli.Hapa India muda si mrefu patajua hapatoshi.
Halafu haya masuala ya kiongozi wa kitaifa kuja halafu watu wanajifanya ni ziara za kichama zitakoma.Kizuri ni kwamba VP alipokuja hakuna unazi mwingi uliofanywa
Pia nadhani balozi wetu hapa kwa kuwa ni mtu safi na liberal minded nadhani ataelewa tu ingawa itakua ni hadithi chungu
Ben
Heshima sana mkuu.
Sasa wewe ndio unaongea maneno ya maana. Hawa CCM sio wajinga, namna pekee ya kwenda nao sambasamba ni kuwa na hoja zinazoeleweka kwa Wananchi (itachukua muda lakini inawezekana), lakini kukaa pembe na kutoa hoja kuwa CCM wanaboa haitasaidia lolote. Before you know nyie mnaolalamika pembeni CCM watakuwa wametanda mpaka USA, Asia na kwingineko Afrika.
CCM wamewaletea mapambano ya fikra mlangoni kwenu; Kazi Kwenu.
Acheni kulalamika...
Ben
Heshima sana mkuu.
Sasa wewe ndio unaongea maneno ya maana. Hawa CCM sio wajinga, namna pekee ya kwenda nao sambasamba ni kuwa na hoja zinazoeleweka kwa Wananchi (itachukua muda lakini inawezekana), lakini kukaa pembe na kutoa hoja kuwa CCM wanaboa haitasaidia lolote. Before you know nyie mnaolalamika pembeni CCM watakuwa wametanda mpaka USA, Asia na kwingineko Afrika.
CCM wamewaletea mapambano ya fikra mlangoni kwenu; Kazi Kwenu.
Acheni kulalamika...
Nice work Joseph Goebbels!!
Umeshaishiwa Hoja, Sasa Unaleta Viroja.