Kama mngeuheshimu mkataba wenu na Hong Kong mngeweza kiutawala na Taiwan. Kwa Hali ilivyo hata mkivamia Taiwan yatakua kama ya Urusi iliyofikiri inaweza kuchukua nchi ndani ya masaa 72 matokea yake wao huko mpaka Leo.Taiwan ni sehemu ya China moja je unabisha kuhusu hilo ?
katika kufanya kazi ndio maana Kila uchwao Kuna mabadiliko mbali ya kisera na Sheria lengo ni kuziba pengo la udhaifu hivyo mifumo ya China ina udhaifu wake China na uimara wake na hili lipo katika nchi zote.