Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wote

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
5,234
Points
2,000

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
5,234 2,000
Hata ccm ni wapinzani baadhi ya maeneo sijui kwanini wao hawakuwepo.

Wamemsahau Mrema na TLP kesho lazima awe na press kuwaponda.

Wanajadili kuachana na siasa?! Maandamano hawawezi hawana kibali.
Huu muswaada huu.
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
25,440
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
25,440 2,000
Viongozi wa Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wa vyama vyote vya upinzani ili kuweka msimamo na mkakati wa pamoja kuhusiana na Muswada Vyama vya siasa.
View attachment 1001864
View attachment 1001865
Hahahaa........ Sisi tupo na Rais Magufuli hapa ukumbi wa kimataifa wa JK Nyerere mambo ni moto sekta ya madini!
 

kendy

Senior Member
Joined
Apr 30, 2015
Messages
120
Points
250

kendy

Senior Member
Joined Apr 30, 2015
120 250
Wapinzani wamekuwa yatima kweli kweli awamu Hii.but God knows!

Sent using Jamii Forums mobile app
ila wana kazi ngumu sana.unajua kwa tz vyama vya upinzani ni kama watoto wa nje,vinajilea,kila wanachofanya hapo kinafika meza ya ccm jioni.
kwa kifupi ni kwamba hapa tz
huwa ni USALAMA WA TAIFA vs WAPINZANI
ccm huwa iko kwenye kochi inakula pipi tu.
 

Forum statistics

Threads 1,382,749
Members 526,462
Posts 33,836,558
Top