Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wote

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Viongozi wa Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wa vyama vyote vya upinzani ili kuweka msimamo na mkakati wa pamoja kuhusiana na Muswada Vyama vya siasa.
kikao2.jpg

kikao.jpg
 
Hata ccm ni wapinzani baadhi ya maeneo sijui kwanini wao hawakuwepo.

Wamemsahau Mrema na TLP kesho lazima awe na press kuwaponda.

Wanajadili kuachana na siasa?! Maandamano hawawezi hawana kibali.
Huu muswaada huu.
 
Viongozi wa Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wa vyama vyote vya upinzani ili kuweka msimamo na mkakati wa pamoja kuhusiana na Muswada Vyama vya siasa.
View attachment 1001864
View attachment 1001865
Hahahaa........ Sisi tupo na Rais Magufuli hapa ukumbi wa kimataifa wa JK Nyerere mambo ni moto sekta ya madini!
 
Hakuna kurudi nyuma katika kupambana na huyu dikteta na vibara wake.
hakuna lolote ndugu,humo ndani wamejaziwa majasusi kibao,wakikaribia mwisho wataanza kunena kila mtu na lugha yake ,kumbuka UKAWA,lipumb,slaa,etc.
 
Viongozi wa Vyama 10 vya Upinzani (ACT Wazalendo, ADC, CCK, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, DP, NCCR Mageuzi NLD na UPDP) wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wabunge wa vyama vyote vya upinzani ili kuweka msimamo na mkakati wa pamoja kuhusiana na Muswada Vyama vya siasa.
downloadfile-6.gif
 
Back
Top Bottom