VYAKULA

CHIRALITY

Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
23
Reaction score
19
WanaJf naombeni ushauri nile vyakula gani ili kuimarisha kumbukumbu ?
 
Kula ndizi kwa wingi nasikia ni nzuri
 
WanaJf naombeni ushauri nile vyakula gani ili kuimarisha kumbukumbu ?

Ndugu,kula:
1.Matunda ya kutosha ya aina mbalimbali.
2.Kunywa maziwa fresh(ikibidi weka bili ya nusu lita tu daily)
3.Kula samaki(variety at least 3 day per week)
4.Jenga tabia ya kunywa maji ya kutosha(angalau lita 3/4 kwa siku)
5.Fanya mazoezi alfajiri,na upate hewa safi ya alfajiri.
6.Punguza stress kwa kurahisisha baadhi ya mambo( usiwe complicater kwa kila jambo)
7.Kuwa busy na ratiba yako,epuka migogoro isiyo ya lazima.
8.Uwe na utamaduni wa kusamehe(hata kama hujaombwa msamaha)
Usikae na usiruhusu kulala huku ukiwa na uchungu moyoni..
Ukizingatia haya hata kwa 50% tu kwa wiki,utaona mabadiliko makubwa.
Uwezo wa kufikiri&kutunza kumbukumbu utaongezeka sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…