MtuSomeone
Member
- Dec 7, 2008
- 57
- 3
Wana FM!!
Naomba msaada kuhusu aina zifaazo kwa wanaume kula ili kuongeza nguvu na stamina ya kufanya tendo la ndoa!
Hii nimeiona ni mada muhimu kujadiliwa kwa kuwa sasa hivi takwimu zinaonyesha kwamba ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanawake wankosa huduma ya tendo la ndoa kwa ufasaha kiasi cha kutosheleza!! Nafahamu baadhi ya mambo kama ukosefu wa mazoezi ya kutosha, ulevi, na mafuta mengi mwilini pia yanachangia!! Hoja yangu hapa nataka kuelimishwa ni vyakula gani iwe vya kupikwa au vyakula asilia vinavyoweza kumsaidia mwanaume? Vile vya muda mrefu (sex boosters) na vile vya muda mfupi kabla ya kufanya tendo (stimulators)
Msaada wana JF
vyakula vyenye wingi wa Zinc,
1. Pweza na supu yake.
2. Samaki na supu yake
3. Chaza na koa wabichi
Vyakula vya jamii ya;
1.Karanga mbichi
2.Korosho
Matunda;
1. Tikiti maji
kwa kifupi jaribu kutumia sana sea food
mhhhhhhhhh buuu!!!...vile vile vionjo vingine kama kitunguu swaumu na pilipili vinasaidia kwa kiwango kikubwa.
mhhhhhhhhh buuu!!!
Mkuu kiboko ya yote Konyagi.....
MBU.
Umeamua tu kutaja vyakula ua unamelezo ya kitaalamu?
mhhhhhhhhh buuu!!!
Mkuu kiboko ya yote Konyagi.....
...Teh tehh! tehhhhhh!!!!Yo Yo,
Konyagi ni chakula?
.........ha ha ha basically you 're all right. But exercise is the most with balanced diet. As said above make sure you take some food rich in protein and Zinc minerals.... Punguza kitambi cha chini (kitambi chakuning'inia/kilichodondoka) kwani kinazuia blood floor kwenye sex organs.
ndio aina gani za vyakula...sea foods?Hapo umenena mimi ni mmoja wa wapenzi wa sea foods
Hapo umenena mimi ni mmoja wa wapenzi wa sea foods