Vyakula vya Kichina: Niulize chochote

Yani mm nje ya nchele, maharage, ugali, dagaa, ndizi, nyama (ng'ombe) vingine huwa sili kizembezembe
 
Nilikula tambi zenye mayai katika jiji la Shanghai China, nilinenepa siku moja ingawa matumizi ya vijiti yalinitesa sana mpaka kidogo niwe nashika kwa mikono miwili. China wana very natural delicious food...
Sio vijiti vinaitwa "wulbash?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…