dah!umenikumbusha mbali best!yani mi ilikuwa bila kuinywa ile naona kama sijaenda shule vile
Nadhani lawalawa gololi na gudigudi zimepotea pia
Mi nimekumiss BADILI TABIA uje nikukule meeeeeeeen!mie nimemiss kula mbewa.....aka panya loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooh
Kwa wale wa Tanga
Kuna Vimto na heltho soda
Kuna miogo ya makopa
Mabumunda
Visheti aka vikokoto
Kashata za machicha ya nazi(tamu izo)
Kuna pakiti fula hivi ndogo ukikata utie ndani ya ndoo ya maji inageuka juisi tamu balaa
Na mabumunda pia...
Hata Moshi vilikuwepo! Umenikumbusha shule ya msingi
Kwa wale wa Tanga
Kuna Vimto na heltho soda
Kuna miogo ya makopa
Mabumunda
Visheti aka vikokoto
Kashata za machicha ya nazi(tamu izo)
Kuna pakiti fula hivi ndogo ukikata utie ndani ya ndoo ya maji inageuka juisi tamu balaa
dah! ukipata bumunda kila siku hata ruti za chooni zinapungua
Inatakiwa unywe maji mengi na maparachichi...
kuberi
wacha kabisa zamani tulifaudu bwana ndo mana tuna akili nyingi!ahhahahahahahah sio siku hizi mtoto ili aone umemletea zawadi eti begi la hannah montana au ben ten!enzi zetu katuni tulizokuwa tunazijua ni wagagagigikoko!na vyakuala vyao vya juu ya minazi!dah!