Vyakula na vinywaji vilivyoadimika

Nadhani lawalawa gololi na gudigudi zimepotea pia
 
Mabumunda kwa togwa loh jamani tunamisi vitu vingi!
 
kalimati,azamto,fahari soda,mkate wa kumimina,

hapa kwenye red kuna siku nimetoka skul nafika tu home nakuta hiyo soda ipo juu ya meza bila kuomba ukijumlisha na kiu na njaa nkapiga pafu 3 za nguvu, unajua kilichotokea? kumbe ni mafuta ya kula ya alizet.
 
sisi wa 90s hatujui kitu hapa...
 
Soda ya ginger, nilikuwa naifuma maeneo ya Arusha...inawezekana labda ipo mie tu sijazungukia pande hizo.
 
Soda ya ginger, nilikuwa naifuma maeneo ya Arusha...inawezekana labda ipo mie tu sijazungukia pande hizo.

Dina ginger ipo sana, sema inatengenezwa na nyanza bottlers ya mwanza na bonite bottlers ya arusha. kwanza bottlers ya dar hawatengenezi thats y huioni!
 
Last edited by a moderator:
Kulikuwa na mkinywaji unanaitwa YES baadae ikaitwa YEBO sijui kama ilikuwa ni soda ama juisi
 
Kulikuwa na mkinywaji unanaitwa YES baadae ikaitwa YEBO sijui kama ilikuwa ni soda ama juisi

Si ndio uzao wa jina maarufu la viatu yeboyebo?
Walikuwa wanakiita "Chakula unachokunywa"
siku nitakionja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…