Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,650
- 14,319
- Thread starter
- #41
Mashuleni wengi bado ni wadogo kiumri miili yao inauwezo mkubwa wa kubalance vyakula………… kuanzia 40s mwili unaanza kuchoka na uwezo unapunguaHuu wali na ugali hauwahusu wale walio shule za bweni?
BTW hii sio kama guarantee kwamba hutapata changamoto za ukubwani, ila itasaidia sana