Vyakula na life style katika umri wa 40+

Vyakula na life style katika umri wa 40+

Dawa yangu ni mazoezi ya maana tu kwa kweli, ila kuhusu kula lazima nile tena nishibe...Kuna mazingira unakutana nayo hapa nchini unabakia kula kilichopo, kula kwa afya ni nyumbani kwangu.
 
Sukari na pressure na heart attack inaweza kuzuilika Kama tukizingatia lifestyle nzuri.

Kula kiasi kidogo usile ukashiba Sana...kwa mfano chapati mbili na bakuli la choroko inatosha kbs..nyama sio nzuri..pendelea sana maziwa mtindi.

Ugali na wali haufai...matembere na kabeji NI mboga nzuri sana..matunda mazuri kbs duniani NI tikitimaji na tango.

Kumbuka kunywa maji Lita zaidi ya nne kwa siku.mazoezi ya kukimbia na ya kutoa jasho NI mazuri...epuka pombe sio nzuri sana
Mimi nimesha anza baadhi ya vipengele japokuwa niko gen-z
 
Sukari na pressure na heart attack inaweza kuzuilika Kama tukizingatia lifestyle nzuri.

Kula kiasi kidogo usile ukashiba Sana...kwa mfano chapati mbili na bakuli la choroko inatosha kbs..nyama sio nzuri..pendelea sana maziwa mtindi.

Ugali na wali haufai...matembere na kabeji NI mboga nzuri sana..matunda mazuri kbs duniani NI tikitimaji na tango.

Kumbuka kunywa maji Lita zaidi ya nne kwa siku.mazoezi ya kukimbia na ya kutoa jasho NI mazuri...epuka pombe sio nzuri sana
Wewe sio wa kutushauri kuhusu pombe
 
Nilianza kuota kitambi ambacho hakina uwiano na mwili nikaanza

Mazoezi kila siku asubuhi.
Nikapunguza sana wanga, sukari, chunvi na red meat.

Nikazidisha maji, matunda, mboga za majani, jamii ya kunde, samaki na sex
Ila nimeshindwa kupunguza biaaa

Saa hii hadi najifurahia, naona na makunyanzi yameanza kupungua aiseee
Nimekua mwepeeeeesi 😂
 
Tafuta kitabu cha kijapani kinaitwa Ikigai kitakusaidia vitu vingi sana kuhusu haya mambo.

Btw. Kula kiasi, achana na manyamanyama wale wa zamani walikuwa wanakula na wako poa kwa nature ya lifestyle sio sisi tunaoshinda kwenye magari na kwenye viti. Kula sana matunda na mboga za majani

Nyungu ya mshana isiishe ndani unakuwa unapiga glass ukijiskia
 
Kwa uzoefu wangu mdogo nimebaini Watanzania wengi sana tunapofikisha miaka around 40 tunaanza kupata changamoto nyingi sana za kiafya zinazo weza kuzuilika kutokana na life style zetu.

Ukiachana na kutofanya mazoezi swala la ulaji na aina ya vyakula tunakula lina beba taswira kubwa sana ya changamoto za maradhi kadiri umri unavyokwenda.

Lakini pia kuna swala la kutokufanya mazoezi na mentality za kustaafu zina fanya wastaafu wengi sana kufa mapema au kwa mateso kwa changamoto za kiafya zinazo zuilika.

Naamini hapa JF wapo wataalamu lakini wapo pia ambao wanajua mambo haya kupitia uzoefu nk
Nimatarajio yangu watatujuza mambo haya muhimu tuyaepuka tufurahie uzee wetu.

Karibuni kwa madini na nondo zaidi.
Hii mada mzuri sana
 
Sukari na pressure na heart attack inaweza kuzuilika Kama tukizingatia lifestyle nzuri.

Kula kiasi kidogo usile ukashiba Sana...kwa mfano chapati mbili na bakuli la choroko inatosha kbs..nyama sio nzuri..pendelea sana maziwa mtindi.

Ugali na wali haufai...matembere na kabeji NI mboga nzuri sana..matunda mazuri kbs duniani NI tikitimaji na tango.

Kumbuka kunywa maji Lita zaidi ya nne kwa siku.mazoezi ya kukimbia na ya kutoa jasho NI mazuri...epuka pombe sio nzuri sana
Asante sana kwa ushauri ila lita nne za maji dah! Kwa mikoa yenye baridi, uwe jirani na choo. La sivyo...
 
Back
Top Bottom