Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Ni ukosefu wa akili hao waailslam hawjui walitendalo kwani tena kila kilichopo hapa duniaaanii ni mali ya Mwenyezi MUNGU wameoona kitabu ndo maana bull shit
 
Hali ni tete,matukio ya uvunjifu wa amani yanazidi kushamiri kila kukicha huku udini ukichukua nafasi na kuacha mshikamano wa kitaifa tulidumu takribani miongo zaidi ya mitano.Watanzania tuliishi kijamaa kwa kuheshimiana itikadi zetu lakini ajabu na kweli mshikamano tuliojivunia sasa tumeuchoka na busara imeshindwa kuchukua mkondo wake. Miaka ya tisini liliwahi kutokea sakata la mabucha ya nguruwe lakini hekima ilitumika likaisha leo limeibuka jipya ambalo tusipokuwa makini litatugawa Watanzania na kupoteza mshikamano na umoja wetu wa kitaifa.Dalili zilianza kujionyesha kuchafuka kutokana na wana siasa kulitumia kama nyenzo ya kuombea kura,tuliona matamko mbalimbali ambayo viongozi wetu wa dini zote walishindwa kuepuka mtegfo na kukubali kutmika kuwakampenia baaadhi ya wanasiasa.. Suala la Qurani tukufu au Biblia takatifu kwa umoja wetu tunaamini ni vitabu vitakatifu vya Mungu,kiasi cha jamii nzima pamoja na wasio na dini wanaviheshimu vitabu hivi.Kinacho sikitisha ni kwanini hekima imeshindwa kuchukua mkondo wake kiasi cha kuhatarisha usalama wa watu na mali zao. Mbegi hii ya udini ikiachiwa ikamea itasababisha matukio ambayo yatasababisha hali ya nchi kuwa tete zaidi ya hivi sasa.Serikali imekuwa ikijinadi kuwa haina dini ila ina heshimu dini za watu,lakini cha ajabu serikali hiyohiyo ndiyo ilitumia udini katika kuwagawa Watanzania wakati wa uchaguzi wa 2010.Matokeo ya kuzungumzwa mara kwa mara udini ndiyo haya leo tunaona matunda yake. Serikali iliaminisha wananchi kuwa kuna udini ilihali wananchi tulishirikiana katika kazi zetu za kijamii bila kubaguana.Sasa yanayojiri leo nani wa kulaumiwa ikiwa serikali kupitia CCM ndiyoiulikuwa imeufanya udnini kama sera yake.Ynanyo tokea huko Mbagala yanabidi yakemewe kwa ukali na wapenda amani kote nchini bila kujali itikadi zetu za kidini.Tukiliacha hili likapita hivi hivi nchi haitakalika Ifike mahali serikali iote matamko makali na kukanusha dhana ya mfumo Kristo unaojaribu kujengwa na baadhi ya taasisi za kidini ilihali serikali imekaa kimya.Kimya hicho cha serikali kuhusiana na mfumo Kristo nadi ya serilai kinaashiria nini kama si kusababisha upande mmoja kuwa na jaziba na kuona unaonewa. Tutafakari kwa kina na kuona kama vurugu zilizotapakaa kila kona ya Mbagala zilistahili kutokana na sakata hili la mtoto kukikojolea kitabu kitakatifu ama kuna kitu kipo nyuma ya pazia.
 
548565_183523771784233_1602856569_n.jpg
Mkuu ELFU-ONEIR Pamoja na kuwa Mungu yupo aachwe ajitetee huyo aliye wavunjia heshima wenye kuamini Dini

yao kuna Serikali angelifikishwa Serikalini sio kuleta machafuzi katika mambo ya dini. Hata Bwana YESU alipotaka

kuhukumiwa alimuomba Mwenyeezi Mungu amuokoe na kikombe cha Umauti itakuwa watu wenye imani ingine kutetea imani

zao?Mimi siwalaumu Waislam wala WaKristo mimi ninacholaumu ni Serikali ya CCM kwanini haiwadhibiti wanaoleta uchafuzi na

uchochezi wa mambo ya Dini? Serikali ya CCM ndio inayochangia yote hayo yatokee Kama ni kweli Serikali haipendele Dini

yoyote kwanini inawaacha Watu wachache kuharibu Amani ya nchi yetu? Swali langu hilo?
 
IMG_2704.JPG

Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani lililovamiwa na waandamanaji.

IMG_2693.JPG

Waumini wa Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani wakiwa na masikitiko kutokana na hasara iliyosababishwa na Waandamanaji
IMG_2695.JPG

Mzee wa Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani, akiangalia uharibifu uliofanyika
IMG_2698.JPG

Gari ya Mchungaji wa TAG Rev. Joseph Kinyota ikiwa imechomwa moto sehemu ya nyuma.
IMG_2697.JPG

Gari nyingine iliyoharibiwa katika eneo la Kanisa la TAG Mbagala Kizuiani.​
 
Muulize KIKWETE kaupigia debe na wachezaji wanacheza sasa legacy yake ni udini ameulea na kuukomaza nchi hii afurahie sasa alichokitaka amepata haya mods nimemsema KIkwete nipigeni Ban manake sikuhizi hakuna uhuru wa maoni sijui wameshawanunua
 
Picha kwa Hisani ya Global Ze Udakuz













4.jpg

.
Huyu aliyepigwa na kitu chenye ncha kali ni nani? Ina maana kuna waliokufa katika vurugu za mbagala leo? Mungu lihurumie taifa letu na wafariji wahanga wa uhuni huu na ukatili dhidi ya haki ya kuishi.
.
 
Kwa nini kila mara waislamu wanapiga kelele za kuonewa?je ni kweli wanaonewa au ni ukorofi?au ni jamii dhaifu ndiyo maana wanaonewa?



Mtu yeyote mwenye upeo mdogo wa elimu na maisha kila siku atasema anaonewa yeye tu. Yeye akifanya maovu anaona anatenda haki. Sasa jiulizeni, hapa nani mwenye haki ama ni nani anayetenda maovu? Waislam bwanaaaa, shida kweli kweli.
 
Jaman msichezee imani za watu mtakuja kujuta

akina nani wasichezee imani za watu? Wewe kisa kizima si unakifahamu? Au umekurupuka kucomment kabla ya kujua kisa? Ni hivi, kwanza kisa kinahusisha watoto, pili mabishano, tatu ni kuchoma makanisa, hapa anaechezea imani ya mwenzie ni nani? Mi nadhani waliochoma makanisa hasa ndo wanaochezea imani ya wenzao eti kisa 'mabishano ya kidini ya watoto', maana hii kwenu imekua ni fashion, mlichoma makanisa zanzibar, mombasa, mmeona haitoshi mmechoma na mbagala tena sasa wakristo tuabudie wapi?
 
hii jamii ya hawa waisilamu walioandamana kwa tatizo
la kuchola alilolifanya mtoto wananitia shaka sana
sina uhakika kama ni kweli ni waisilamu lakini kama itafahamika kweli ni waisilamu basi kuna haja
ya kuwa makini na nuisilamu kwa sababu utakuwa ni ushetani
uliostaarabika maana hainingii akili kweli
 
Hivi kama ni mtoto wako nyumbani amekojolea msaafu utaenda kumshtaki msikitini na kuita mob imuue? Tafuteni cha kufanya acheni kukaa na kushinda vijiweni. N surely do u have enough time to praise your god? it seems muda wote mwawaza maandamano na kufanya uharibifu.
 
hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....

wakristo ni wapole sana... Huo uhuru wa kuabudu ndio upi? Kupigana na kuharibiana mali? Sasa wakristo nao wakija juu na kusema mmechoma makanisa yetu itakuwaje? Acheni ujinga.... Kumbe ndo maana mlikataa hata kuhesabiwa kwa kuwa mnapenda uhalifu?
 
Haya ni matokeo ya kulea vitendo vya ugaidi unaofanywa na;
1. Sheikh Ponda (mcheza karate ambae hajasoma hata darasa moja according to Mufti
2. Radio Imaan- wachochezi wa kidini na chuki dhidi ya uislamu
3. UAMSHO
 
wakristo ni wapole sana... Huo uhuru wa kuabudu ndio upi? Kupigana na kuharibiana mali? Sasa wakristo nao wakija juu na kusema mmechoma makanisa yetu itakuwaje? Acheni ujinga.... Kumbe ndo maana mlikataa hata kuhesabiwa kwa kuwa mnapenda uhalifu?

wenzetu watu wa jazba sana,easily tempered.
 
wakristo ni wapole sana... Huo uhuru wa kuabudu ndio upi? Kupigana na kuharibiana mali? Sasa wakristo nao wakija juu na kusema mmechoma makanisa yetu itakuwaje? Acheni ujinga.... Kumbe ndo maana mlikataa hata kuhesabiwa kwa kuwa mnapenda uhalifu?

wenzetu watu wa jazba sana,very easily tempered.
 
Back
Top Bottom