Nakumbuka wakati nasoma sekondari nilikuwa naota ndoto za majinamizi sana, nikaambiwa ukilala na Bibilia chini ya mto basi huwezi kuota tena majinamizi.
Nikalala nayo na bado majinamizi kaka kawaida
Enzi hizo tulikuwa tuna kipindi cha dini na mwisho yule padri alikuwa anasema mwenye tatizo binafsi baada ya kipi amfuate kwa ushauri
Basi nikamwende na kumueleza yote hadi kulala na Bibilia pia imeshindika bado naota tu
Yule padri akaniangalia na kucheka kisha akanambia hicho unachokiona hapo ni makaratasi tu na wino na haviwezi kukukinga na chochote wala kukuokoa
Akaniambia unatakiwa kuamini neno la Mungu ambalo lipo tu na si kutumia kitabu kama utakatifu. Kitabu ni kibebeo tu
Leo hii hata mtu avutie sigara Bibilia kamwe hajagusa Neno la Mungu maana kitabu na wino tumetengeneza sisi wanadamu bali tunapaswa kuyaamini yale ambayo hata ukichoma kitabu yatabaki milele
Nawashauri ndugu zangu waislam kutafakari sana mfano huu