Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,605
- 2,748
- Thread starter
- #361
Duh hata mimi niliacha tennis court ila haina zile net, basket ball court bado ilikuwa na mbao nzee na b.court ile kule kwnye kota za waalimu ilikuwa ishakufa..na kule bwawa la kuogelea halikuwa na maji ilkuwa ishafanywa msikiti eneo la msikiti...Zilikuwa mbili. Juu kuelekea kota za Walimu na karibu na jumba askofu au tennis court. Nadhani na bwawa la kuogelea lishakufa...