Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Huu uzi bado unakumbukwa.? Nimekumbuka 2005 naingia umbwe. Namkumbuka kiongozi wa bweni alikuwa broh mmoja kwa jina Jumanne ( J4 ) ambae swahiba wake alikuwa jamaa mmoja mkimya mno wa kuitwa Hamis.. J4 alikuwa muongeaji na mtu poa sana. Nakumbuka hata kucheza nae sodo nje ya bweni pale dom 10.

2009 tulikuwa tumeshasepa wengine. Ila form 4 ya wakati huo ndio ilikuwa full mavurugu ngumi nje nje. Huu uzi umenikumbusha kaka zangu wengi ambao walikuwa wanafanya naifurahia shule kama akina Fredy Mrema, Carlo, Jose Mpenenge, Joshua kiparaa n.k....

Huu uzi umenikumbusha nyakati hizo. Nafikiri hasira ya umbwe ilichangiwa zaidi na brothers waliorudi pale form five baada ya kumaliza form 4 2007.. Hawa nafikiri walikuwa wanaujua mzozo wa umbwe na lyamungo zaidi ya wengine wote waliokuwepo wakati huo. Kama wapo humu watasema ukweli.
 
Form four ya 2009 ilikuwa na watukutu wengi sana, dozlepa, people a.k.a pascal alikua ananenepea shule akienda likizo akirudi amekonda, mmarekani alitaka kumkata mapanga mwalimu asenga
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-205044~2.png
    Screenshot_20221115-205044~2.png
    225.2 KB · Views: 13
Form four ya 2009 ilikuwa na watukutu wengi sana, dozlepa, people a.k.a pascal alikua ananenepea shule akienda likizo akirudi amekonda, mmarekani alitaka kumkata mapanga mwalimu asenga
Vijana wapya walikuwaga wakishangaa mlima pale kipindi cha baridi kinapoisha na kuja wakati wa jua mlima unatokelezea vizuri. Wanashangaa sana hahahaha

Good old days
 
"nakumbuka tulipita sehemu na mama mmoja alikuwa akipalilia shambani akaanza kulia na kutuomba tusiende ila vijana hatukuelewa tukazidi kwenda"
 
Siyo kumbu kumbu nzuri sana; Lyamungo ni Jeshi maana hata Stream zilikuwa ni J,K & T badala ya A,B& C mlizizoea kwingine.Mazoezi yake ni Infrequent Soweto na kupakia lorry TX la Mzee Murri kwenda shambani Weruweru.Watu na majembe hupakiwa gari likiwa speed 50-60 km/h without injuries.
Inafikirisha lakini!
Umenikumbusha zile stream zetu za jktu. Unapiga chui la manase na mzee kusukuma ngari. Ukizingua unapigwa na mpini wa jembe. Kina mwalim Sandi marenge lyaruu comrade shoo chini ya Isack malisa.
 
Umenikumbusha zile stream zetu za jktu. Unapiga chui la manase na mzee kusukuma ngari. Ukizingua unapigwa na mpini wa jembe. Kina mwalim Sandi marenge lyaruu comrade shoo chini ya Isack malisa.
Lyamungo ni kawaida yao kuonelewa Miaka ya 80
Kibohehe ambako binamu zangu na kaka zangu walikuwa wanasoma walikwenda kucheza mpira Lyamungo
Baada ya mpira pakatokea ugomvi walichofanya kibohehe waliondoka zao wakafika mbele wakasimamisha Lori lao wakarudi kwa Miguu wakijua lyamungo muda huo wanaoga wakaingia jikoni wakabeba nyama kwenye masufuria na wali wakasepa zao

Lyamungo kuja kushtuka walishaibia chakula na kibohehe walishaondoka na Gari lao muda
 
Mkuu hapa kulikuwa na ka likikzo kama wiki 2 hivi sisi wa mbali na wengine ambao hawataki kwenda home tukabaki, sheria ikapitishwa kuwa ili ule lazima uwe umefanya kazi ya kusomba kuni na huko huko kazini mwalimu na viranja wanoko wanakupa kuponi ambayo ndo tiketi yako ya kuingia jikoni, hatujakaa sawa Headmaster Sanga akatangaza kuwa kipindi chote hicho cha likizo hamna kula wali! Vijana tukaona miyeyusho usiku mapema sana tukaenda kwa headmaster tukamsaidia kushusha vioo vya nyumba yake chini! Kesho yake defender kama 3 na FFU waliovalia zana zao wakatupa nusu saa ya kuondoka na hawakutaka hata mtu aache kivuli chake! Kwakweli mm sikwenda kwetu maana nlipiga hesabu ya 120k kwenda na kurudi nikaenda kwa mshikaji wangu kule Uchira tukapata dili la kupalilia mahindi heka moja 40k na kunyunyizia dawa, knapsack spray 1 tsh 3000, likizo ikaisha nikiwa don ila kwa sababu ya ujinga sikuchukua tahadhari wkt wa kupulizia dawa nikababuka mgongo wote! Nilirudi shule nikiwa na nido, sukari, blue band za kutosha room ilkuwa happy sana! Nilikuwa nakaa bweni la Aggrey
Tulirudishwa njiani tukalala vizuri kesho yake ilikuwa noma mimi yenyewe nilikuwa nakaa Agrey Dom leader alikuwa Abubakari Katera
 
Jamaa walimuulia uwanjani karibu na bweni ka mkapa,. Niliposoma uzi huu nimejikita ninawaza mengi ila mkuu washule wa lyamungo kipindi hicho wandiba alikua mtu wa kuchochea ghasia maana ninakumbuka tulienda pale form 5 tukakuta o,lever wanapiga fimbo usiku kama nn ila wandimba alikua akituelezea komaa nyie ni wakiume. Dah ninatamani tuwasiliane na ww mtoa uzi wenda tuna fahamiana.
We jamaa huwenda tunafahamiana pia 😊
 
Siyo kumbu kumbu nzuri sana; Lyamungo ni Jeshi maana hata Stream zilikuwa ni J,K & T badala ya A,B& C mlizizoea kwingine.Mazoezi yake ni Infrequent Soweto na kupakia lorry TX la Mzee Murri kwenda shambani Weruweru.Watu na majembe hupakiwa gari likiwa speed 50-60 km/h without injuries.
Inafikirisha lakini!
Nakumbuka dereva alikuwa Baba Adam a.k.a suka mke wake alikuwa anapika maandaz na chai afu vijana ilikuwa full kumpiga mbupu
 
Back
Top Bottom