Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

Mmmh, sijui maana kwa ule msafara wa Rais unavyokuwaga, sioni kabisa hiyo nafasi ya wananchi kuweza kusimama tu barabarani na kuzuia, otherwise waliambiwa kwamba Rais angepita maeneo hayo. Na sijui wakati wa kuzuia barabara walianzaje, ina maana walizuia na magari ya kawaida? Anyway sijui, but nafikiri ni jambo gumu sana, bora mngesema wameupopoa kwa mawe, lakini si kuzuia.

Lukolo mbona unakuwa kama mjinga... hivi mfano bara bara kama ile watu wasipopisha huo msafara kwa kuendelea na magari yao kama kawaida, atapita wapi? Wakipark bara barani atapita wapi? wakiweka mawe, magogo atapita wapi? wakilala bara barani atapita wapi? Jamani hata hili tunahitaji Phd zenu za kubumba?
 
Sasa ALOTOA TAARIFA YA RAIS KUPITA NI NANI MPAKA WANANCH WAKAJIANDAA ILI KUUZUIA? BADO NASHINDWA KUAMINI KAMA KWELI.
 
Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.

Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.

Namanga ya Dar es alaam au Arusha mbona unaweweseka?
 
Mambo mengine mleta Mada kachanganya habari. Mosi kulikuwa na Uvunjaji wa nyumba hapo Namanga- Tegeta kwa hiyo kulikuwa na Mabaunsa waliokuwa wakifanya fujo ndipo Polisi wakaingilia kati. Kupita kwa Rais hakuna uhusiano na tukio hilo
 
Haya sasa, kama ni mchezo wa mpira wa miguu, hata HT hatujamaliza, lakini dalili za kupata goli zinaonekana.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Mkuu,ujumbe umeuweka vibaya kwa kusema WATU WASIOJULIKANA WAMEZUIA MSAFARA.Ungeanza hivi,WATANZANIA
WENYE UCHUNGU NA NCHI YAO WAMEZUIA MSAFARA.

Ukiona haya yameanza kujitokeza,ujue mapinduzi hayako mbali.
 
Dah hiv magogon ingekuwa mbeya au arusha au mwanza ivi ingekuwaje leo?kama mpaka wa daslaam wamemchoka ivyo
 
Lukolo mbona unakuwa kama mjinga... hivi mfano bara bara kama ile watu wasipopisha huo msafara kwa kuendelea na magari yao kama kawaida, atapita wapi? Wakipark bara barani atapita wapi? wakiweka mawe, magogo atapita wapi? wakilala bara barani atapita wapi? Jamani hata hili tunahitaji Phd zenu za kubumba?

kila kitu kinaitaji organaizeshen we unafikir frn no wea magar yakatae kupisha msafara tena kwa pamoja cz cku zote ktk maandamano wapo wanaopinga na wanaounga mkono, na wewe uhtaj phd kujua hili ata mdogo wangu wa grade 3 anaweza elewa hilo.
 
Hivi msafara wa rais mnauzuiaje? Hapa bado nahitaji technical explanations za namna ambavyo hili limefanyika.

mbona laisi tu!,umesahau mbeya?Watu hufanya taiming ikisha pita kile king'ola watu wanaingia barabarani na ndicho walichofanya leo.
 
Yawezekana hii ni geresha tu serikali inafanya kimakusudi, yaani ku-divert attention (kupoteza lengo) kwa wananchi kutoka ile ishu ya Dr Ulimboka ambayo kila dakika inazidi kuikaba koo serikali ya huyo dogo ile mbaya.

Utaona watu wamekwisha kamatwa na ishu itakuzwa kweli-kweli!
 
Mwenyewe atakuwa anafikiri wananchi walitaka kumshangilia kwa sababu wanampenda sana!
 
kila kitu kinaitaji organaizeshen we unafikir frn no wea magar yakatae kupisha msafara tena kwa pamoja cz cku zote ktk maandamano wapo wanaopinga na wanaounga mkono, na wewe uhtaj phd kujua hili ata mdogo wangu wa grade 3 anaweza elewa hilo.

Kilahunja, hapa alichouliza ni kuwa msafara utazuiwa vipi? nilichojibu ni namna ambavyo unaweza kuzuiwa... ni lazima kuwa hao waliotaka kuzuia walikuwa wame ji organize, yaani kwa akili yako Kilahunja inaweza tokea tu from nowhere watu wakazuia msafara bila kuamua kwa pamoja kufanya hivyo? acha udwanzi bana!!
 
Lukolo mbona unakuwa kama mjinga... hivi mfano bara bara kama ile watu wasipopisha huo msafara kwa kuendelea na magari yao kama kawaida, atapita wapi? Wakipark bara barani atapita wapi? wakiweka mawe, magogo atapita wapi? wakilala bara barani atapita wapi? Jamani hata hili tunahitaji Phd zenu za kubumba?

Msamehe huyu bwana kwani ana macho anajidai kipofu na ana masikio anajidai Kiziwi mpuuze achana naye
 
Leo nimeshangaa sana rais dhaifu alipo zuiliwa na wananchi wenye uchungu na maisha yao,mara FFU wamefika na kuuanza kushamburia kwa mabomu,kwa jinsi watu walivyokua wengi hadi polis wameshindwa kuwasomba na kuuanza kusimamisha magar ya kiraia kuwapakia,imebidi wengine waachiwe tu
 
Wameuzuia vipi huo msafara?
We endelea kusubiri,hadi wenye hasira kali waje wamnige kama walivyofanya Mali hadi "vima" na "jokom" (yaani "jaha" kubwa na ndogo)vyote vikatoka kwa wakati mmoja ndo utakubali kuwa watu wamewachoka.
 
Back
Top Bottom