Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

Pole bro, umeona polisi wanavyotetea wauaji? Toka ile down ya kilala > makumira > transfoma(chuo) > mshikamano > danish bamsi unazikuta posta. Embu angalia hiyo down ilivo na madaraja, moteremko na makona. Watu wanagongwa daily, magari yanazama mtoni daily. Wananchi wakidai wanapigwa bomu na risasi.

Kaka hatuwaombei hawa jamaa mabaya lakini ngoja na wao yawakute tuone kama watajipiga mabomu. Kiukweli inauma sana
asante man yani huo mteremko ni mkali we ukikaaa si unaona kama wale jamaaa wa tochi hawapo haswa mida ya jioni malori wakiweka free toka SADC pale linakuja stuliwa hapo posta na matuta hawataki ati ni international road basi watu wa tochi wakae 24 hrs
 
Nchi hii ihaongozwa kwa mabomu ya polisi tusubiri tena kesho pale Lema atakapokuwa anatoka mahakamani.
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.

Kama wewe ungekuwa na mwanao huko, halafu ni mkulima wa kawaida, ungeongea kama mtanzania mwenye akili timamu. Hii lugha yako si ya kizalendo
 
Jamani,hii taasisi ni kubwa,ndio chuo makao makuu ya chuo kikuu cha Tumaini,geti liko barabarani,kwa nini wanashindwa kutujengea matuta wakati hapo tengeru sokoni mmejenga?,au mnawathamini waenda sokoni kuliko wasomi?
 
Hali n mbaya hadi mda huu.polis wameingia ndani ya chuo kuendeleza ubabe wao na wanachuo wamekataa kwenda kulala kwn wanadai msiban watu hawalalagi huwa wanakesha.hasira za wanachuo n kuwa polis walichelewa kuja kuchukua maiti barabaran kwn kituo cha polis na chuo n kama km 4 tu.hata polis wa trafik walipofika baada ya kuchelewa walikua wanaongea kw nyodo kama walev kitendo kilichowaudh wanachuo na kuanza kuwashushia polis kichapo.
 
gari la trafik limevunywa vioo,hii ni kutokana ua kuja kwa ubabe,maiti iko chini,wao wanakuja kwa makeke tafikiri wamekuja kukamata jambazi,wana ambiwa kafuatilieni kosta iliyo uwa,wao wakaleta ubabe,wanachuo waka warushia mawe na kuvunja vioo...
 
Majambazi waliovaa sare za kaki na kupata mafunzo ya kuua,ndo tulionao Tanganyika...bora hata jeshi la kikoloni kuliko hili la walamba viatu kapuku kama mie,wanalala kwenye mabanda kama ya mbwa koko na bado wanatugeukia wananchi

Yani,police ni janga kwa taifa jamani.
 
MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI TANZANIA
Inspector Jeneral wa Polisi Tanzania
0754 785557
Kamishna wa Utawala na Rasilimali
0754 332999
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
0754 206326
Kamishna wa Operesheni
0754 489567
Kamishna wa Police Zanzibar
0784 612814
Naibu mkurugenzi wa Upelelezi Makao Makuu
0787 115395
Mkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini
0713 635377
Mkuu wa Kitengo cha kuzuia Hujuma na
Uchumi na Fedha haramu
0713 223362
Mkuu wa Opraresheni Maalum za Polisi
0754 016150
Mkuu wa Sera na Utafiti
0754 430988
Mkuu wa Maabara ya Jeshi la Polisi
0784 692863
Mkuu wa Utawala na Utumishi
0713339240
Afisa Mnadhimu na Ufuatiliaji na Tathimini
0713 234799
Mkuu wa Huduma za Polisi Jamii
0754 276827
Meneneja MkuuBwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi Osterbay
0754 400033
Mkuu wa kitengo cha Maboresho
0754 264058
Mkuu wa Uhusiano wa Kimataifa
0753 023272
Mkuu wa kitengo cha Miradi ya Maendeleo na Ununuzi
0713 451770
Mkuu wa mipango na Bajeti
0713 631327
Mkuu wa kitengo cha maadili
0713 223659
Mkuu wa kitengo cha Teknolojia na Mawasiliano
0713 634289
Mkuu wa Interpol
0784 530558
Mkuu wa kitengo cha Fedha
0754 202012
Mkuu wa Intelegensia
0754 470959
Msemaji Mkuu wa Jeshi
0784 621460
Mshauri wa IGP Maswala ya Sheria
0754 487687
 
MAKAMANDA WA POLISI MIKOA TANZANIA BARA
Arusha
0754 267032
Dodoma
0754 022999
Manyara
0715 009929
Mwanza
0713 496770
Kagera
0787 576171
Mbeya
0784 292935
Kigoma
0752 814377
Kilimanjaro
0784 708857
Tabora
0754 020033
Lindi
0784 396086
Pwani
0754 293349
Iringa
0754 170377
Rukwa
0754 381836
Morogoro
0754 770000
Mara
0784 864212
Singida
0784 433551
Mtwara
0784 418857
Tanga
0754 280994
Shinyanga
0786 249249
Ruvuma
0713 242515
Tarime
0713 510856
















Ilala
0754277154
Kinondoni
0784 820033


Temeke
0784 470581


MAKAMANDA WA POLISI MIKOA ZANZIBAR
Kaskazini Unguja
0713 298766
Mjini Magharibi
0777 417952
Kusini Unguja
0786 662099
Kusini Pemba
0773 089417
Kaskazini Pemba
0777 481881
 
acha matusi.., am a teacher- div 2 form four, div 2 form six, upper second 3.9 at university level. Am proud to be a teacher.
Fikiri kabla ya kutenda, soma historia ya elimu nchi mbalimbali ndo utajua unachokidharau kina thamani au la. Shame on you

Big up mkuu. Walimu tupo hapa. Achana na huyu mjinga analeta dharau.
 
gari la trafik limevunywa vioo,hii ni kutokana ua kuja kwa ubabe,maiti iko chini,wao wanakuja kwa makeke tafikiri wamekuja kukamata jambazi,wana ambiwa kafuatilieni kosta iliyo uwa,wao wakaleta ubabe,wanachuo waka warushia mawe na kuvunja vioo...

Pangetakiwa na hata ingewezekana huyu trafiki awe hoi mpk hata muda huu! Hawa wamepoteza utu kbs ya kazi yao lengwa!
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.
Nyankundo (ie.kiungo chako kilicho kati kati ya masaburi yako) una hela gani wewe mjinga mkubwa kwani hao wanachuo wazazi wao hawalipi kodi. wewe ni david k. hata camodemu ulikonako umeuza masaburi ukapewa shame upon you
 
Wanaogongwa na magari wote ni ama walevi ama wagonjwa wa akili sio?

Fikiria mtu katoka kijijini huko, mjini ndo anaanza kuzoea zoea ndo kakutana na hiyo hali! utasema ni mlevi au mgonjwa wa akili? Anyway yawezekana umezaliwa mjini, ukasoma mjini na unaishi mjini muda wote. Usitake kuwaeleza watu hapa wote wanaogongwa wanamatatizo ya akili au ni walevi.
RIP mwanafunzi!
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.

Msomi wa madrasa bwana, umenichekesha sana
 
lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.nasikia udsm mabibo wameandaa maandamano ati kupinga wenzao kufikishwa mahakamani hiyo kesho.wasomi wa namna hii bora wafukuzwe chuo kabisa wawe wapiga debe maana wamechoka shule wanapoteza hela zetu.
huna mtoto anayesoma wewe ungekua naye ushngeongea upuuzi huu.
 
Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.

Upo kazini, au ni mtoto wa fisadi, au ni fisadi kabisa. Kwa hali ilivyo sasa wala hautupi taabu kukugundua, na kitaeleweka tu.
 
kwa kwli leo ni maombolezo tu,nasikia nyimbo za parapanda,ni huzuni kubwa kwa kweli,Polisi wamekuja kututimua tena ndani na wameondoka na maiti,ngoja tuendelee kuomboleza,Emmanuel Ulomi Rest in Peace.

oh my God! He is my family member!
 
Back
Top Bottom