Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE PRINCE, Nov 13, 2011.

 1. T

  THE PRINCE Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mwanafunzi kagongwa na kufa, wanafunzi wakakusanyika kwa wingi. walipokuja polic wakaanza kupiga mabomu & risasi
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  Na umeme wameamua kuwakatia naona. Poleni wakuu.. Hayo mawe msiyatoe mpaka mwisho
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa mabomu ni kwasababu gani. Mi nasemaga hawa polisi wetu sio watanzania.
   
 4. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mimi nahisi utendaji wa Polisi wetu unatakiwa kuangaliwa upya.
   
 5. tpellah

  tpellah Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao police wajinga kweli2 polen ndugu zanguni wa huko
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni kweli aliyegongwa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili anasoma education. Mpaka saizi chuo hicho kimekatiwa umeme na polisi kama ilivyo ada yao wanarindimisha risasi ili kukabiliana na vurugu za wanafunzi hao waliofunga barabara.
   
 7. M

  Mwana UoA Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani police ni form waliofeli yaani hata ile div four ya ualimu hawakuipata watu hawa hawana option nyingine ni watumwa wa ccm
   
 8. twahil

  twahil JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 3,590
  Likes Received: 1,971
  Trophy Points: 280
  Lazima mmewarushia mawe ndio maana wanawakwida.NASIKIA UDSM MABIBO WAMEANDAA MAANDAMANO ATI KUPINGA WENZAO KUFIKISHWA MAHAKAMANI HIYO KESHO.WASOMI WA NAMNA HII BORA WAFUKUZWE CHUO KABISA WAWE WAPIGA DEBE MAANA WAMECHOKA SHULE WANAPOTEZA HELA ZETU.
   
 9. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Haya maneno uliyoyaandika unayaamini kwa asilimia ngapi? ....deep down your soul
   
 10. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Poleni sana!Lakini na wewe aliyekwambia div 4 ni za ualimu ni nani?Mbona tunaambiwa huyo aliyegongwa alikuwa anasomea ualimu?Inamaana na yeye alipata div 4?Ama tuseme ndio dharau hata kwa huyo marehemu wetu?Ni vema tukafikiri kwanza kidogo kabla ya kuchangia humu.Napata shida kidogo kutambua sijui mwenzetu unafikiri kwa kutumia nini.THINK.
   
 11. T

  THE PRINCE Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Don't pre-judge. uliza chanzo uelezwe.
   
 12. d

  davestro Senior Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabomu ya machozi hawayapigi hewani wanatulenga nayo hawa makuzi#hainaga kuwira
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Poleni wandugu
   
 14. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  1 + 1=11!!!!!!!!!!
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  UDSM imeingiaje hapo?
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa mujibu wa vyanzo vilivyopo hapo, vurugu hizo hazitaisha leo kwani hii siyo mara ya kwanza kwa kwa mwanafunzi kugongwa hapo. Wanataka matuta na siyo zebra ambazo madereva wetu vichwa ngumu hawaziheshimu au kuzingatia.
   
 17. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wewe kweli twahira!mwaka wenu huu hadi mkimbilie uhamishoni.siku zinahesabika.
   
 18. Blandes

  Blandes JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Polen ndugu,tafuten haki ili polisi wadai cdm kawatuma
   
 19. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  serikali ingehamishia nguvu kwa waujumu wa uchumi tungekuwa mbali yani sasa wameamua kupambana na wasoni mh!
   
 20. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hivi wewe una ubongo wa binadamu kweli? Si amini hata kidogo! Acha nĂ­ishie hapo,damit!
   
Loading...