WOLF SEPTICEMIA
Senior Member
- Dec 11, 2017
- 168
- 102
Mkuu tulikuwa wote nn enzi hizoNimekumbuka enzi hizo nipo Mara sekondari tulipigana na maporisi wakashindwa JW wakaitwa ndo ikawa mwisho wa vurugu.niwashauri vijana wasome waache ujuha.
Mkuu tulikuwa wote nn enzi hizoNimekumbuka enzi hizo nipo Mara sekondari tulipigana na maporisi wakashindwa JW wakaitwa ndo ikawa mwisho wa vurugu.niwashauri vijana wasome waache ujuha.
Tutafunga nchi,mi nitaenda congo26/4 come too soon.
Morega mongate aka dude nooomaMlikua na morega au
Waliofanya vurugu walikua wanapinga huyo mwenzao asifukuzwe shule au walikua wana support?VURUGU KUBWA SHULE YA SECONDARI LYAMUNGO LEO HII TAREHE 1 MARCH 2018 HALI SII SHWARI
Hali sio shwari hata kidogo katika shule ya sekondari Lyamungo iliyoko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, kilichopelekea mkuu wilaya ya Hai kufunga shule hiyo kwa muda kukwepa hasara zaidi, huku ofisini ya mwalimu wa nidhamu na ofisini ya mkuu wa shule vikiharibika vibaya sana.
Vurugu hizi zilianza katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi ambapo mwanafunzi mmoja mtukutu aliwatukana waalimu na wanafunzi wa shule katika kura alizopiga. Uongozi wa shule pamoja na walimu walishirikiana kubaini mwandiko wa mwanafunzi huyo, ndipo ugomvi ulipoanzia Kitendo cha uongozi wa shule kumfukuza shule mwanafunzi huyo ndio chanzo cha vurugu zote hizo.
1998 nilitimuliwa kwenye zile fujo ila ninajuta kwa upuuzi ule wa kitoto.Mkuu tulikuwa wote nn enzi hizo
Wamehisi kua huyo mwanafunzi ndie kawatukana, sababu hapakua na mtaalamu wa kukagua mwandiko would you please think like a living creatureHuo ni utovu wa nidham, mwanafunzi kutukana waalim kwa sababu za kijinga.
Hiyo hasara wazazi wao watalipa.
Mkuu kumbe na wewe ulisoma hapo nakumbuka tuligoma kula chakula pia nilikuwa form 3 i think, nadhani wanafunzi watakuwa na reason behind sio hiyo tu ambayo imesemwa hapoHapo mpaka usikilize story ya upande wa pili ya wanafunzi isiaminike tu stori ya waalimu.
Mimi pia nimesoma hio shule naifahamu kiasi, kuna kipindi cha nyuma tuliandamana, kulikuwa na ugonjwa wa tumbo shuleni, mwanafunzi mwenzetu akaomba ruhusa kwenda nyumbani anaumwa sana tumbo, wakamkatalia, akakaa nje ya ofisi ya waalimu hadi akafariki hapo hapo, walimu wakaizima zima na report kutoka wakadai ni malaria tu.
tuliandamana hadi wakafukuza shule O level wote na kubakisha form IV tu waliokuwa wanamaliza. waliofukuzwa wakapelekwa shule za kata.
Katumiwa na ule mchama ambao karibu ufungweVURUGU KUBWA SHULE YA SECONDARI LYAMUNGO LEO HII TAREHE 1 MARCH 2018 HALI SII SHWARI
Hali sio shwari hata kidogo katika shule ya sekondari Lyamungo iliyoko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, kilichopelekea mkuu wilaya ya Hai kufunga shule hiyo kwa muda kukwepa hasara zaidi, huku ofisini ya mwalimu wa nidhamu na ofisini ya mkuu wa shule vikiharibika vibaya sana.
Vurugu hizi zilianza katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi ambapo mwanafunzi mmoja mtukutu aliwatukana waalimu na wanafunzi wa shule katika kura alizopiga. Uongozi wa shule pamoja na walimu walishirikiana kubaini mwandiko wa mwanafunzi huyo, ndipo ugomvi ulipoanzia Kitendo cha uongozi wa shule kumfukuza shule mwanafunzi huyo ndio chanzo cha vurugu zote hizo.
Well saidmkiwa shule mmefukuzwa ila ukirudi nyumbani umefukuzwa peke yako
We kweli wa Mara ...hata mwandiko wako unaoneshaNimekumbuka enzi hizo nipo Mara sekondari tulipigana na maporisi wakashindwa JW wakaitwa ndo ikawa mwisho wa vurugu.niwashauri vijana wasome waache ujuha.
Acha fix, naijua vizuri majengo kuna siku walicheza mpira na old moshi secondary uwanja wa CCP ,majengo walikula stiki balaa wakaokolewa na kuruta wa ccphawana lolote enzi zetu tukiwa Majengo sec. huwa tunawakunguta vizuri
Uyo muongo iyo majengo watoto wa mama, old moshi waliwatandikaga fimbo,angle zote za kutokea uwanjani kulipigwa piniMajengo? hio shule si ipo Moshi mjini? Enzi zenu ni mwaka gani? mliwapigaje?
Mti safi si mchezoNilisoma umbwe tulikuwa nao karibu tukiwa ktk mechi na lyasikika ilitokea ugomvi huo sitausahau, alikufa mmoja na majeruhi kibao