Kamanda, mambo ya Kitunda, Banana, Kipunguni kwa wauza mayai Mulla. Huku hata TRA, SUMATRA na EWURA ni magheshi! Tupo hapa nyuma ya kituo cha Banana Mulla, unapata kitimoto mchicha wangu! Achaa acha kabisa aisee bora wafe askari polisi 6 kuliko Mkurya mmoja raia mulla!...kamanda wapi hiyo jomba..
Mgambo nao zamu yao wamezidi kuwaonea wamachinga
Acha uongo wewe...
Kilichotokea ngoja niwafahamishe wanabodi. Leo ni mapumziko kiserikali kutokana na sikukuu. Machinga siku kama hizi huwa wanakuwa free kupanga bidhaa zao kwa kuwa mgambo wa city hawapo.
Kilichotokea mgambo wa city wakajikusanya kwenda kutafuta pesa kwa machinga, polisi mmoja akijitokeza na kuwambia mgambo hebu waachieni leo wafanye kazi sikukuu.
Basi wale mgambo wakampiga yule askari. Yule askari ndiyo akawaita askari wenzake ndiyo ikaanza piga nikupige wale mgambo wakakimbia, machinga wakaingia mitaani kuwasaka migambo kisha wanawaita polisi.
Mgambo wote wamekimbia kariakoo.
Habari nillizozipata jana kuna chinga mmoja alipigwa sana na wagambo wa jiji bila sababu. Akaenda kushitaki polisi msimbazi. Leo afisa mmoja wa polisi akiwa hajavaa uniform akamchukua huyo chinga ili amwonyeshe hao mgambo waliompiga. Badala yake wale mgambo wakamchapa sawa sawa yule afisa na kumnyanganya bunduki yake.
kama habari hii ni kweli....mgambo wamepata kinachowastahili...wamezidi kupora mali zao
Habari nillizozipata jana kuna chinga mmoja alipigwa sana na wagambo wa jiji bila sababu. Akaenda kushitaki polisi msimbazi. Leo afisa mmoja wa polisi akiwa hajavaa uniform akamchukua huyo chinga ili amwonyeshe hao mgambo waliompiga. Badala yake wale mgambo wakamchapa sawa sawa yule afisa na kumnyanganya bunduki yake.
Taarifa zikamfikia mkuu wa kituo. Akawapa mamlaka wamachinga woote wa kariakoo kuwasaka mgambo wa city popote walipo na wampelekee kituoni, bila kujali wako katika hali gani.
Toa picha sasa na ww uctuletee usanii humu:israel:
Sasa hizo siku 9 ni kiboko, kuna mtu mmoja amenitonya kuwa huenda damu ikamwagika kuanzia kesho, kwani mgambo hawakubali kitendo walichotendwa. Na wanadai wanawafahamu vema machinga husika. Yetu macho na masikio.
Chinga Ikwiriri wamewasha moto jana, leo Chinga Ntwara wanatembeza mkongo`oto,na Chinga wa kariakoo wanakinukisha, Chinga Mwanza wamechachamaa na Wakulima Dumila wanasema imetosha sasa. Tunakwenda wapi?Ha ha haa duh hiyo itakua ya kufungulia mwaka.chinga leo wamepewa rungu dah.natamani ningekua chinga japo leo tu
Kamanda, mambo ya Kitunda, Banana, Kipunguni kwa wauza mayai Mulla. Huku hata TRA, SUMATRA na EWURA ni magheshi! Tupo hapa nyuma ya kituo cha Banana Mulla, unapata kitimoto mchicha wangu! Achaa acha kabisa aisee bora wafe askari polisi 6 kuliko Mkurya mmoja raia mulla![/QU
....wasalimie LUMUMBA.....kamanda...sisi huku A town mambo powa tu...
sasa hivi ulinzi na usalama uko chini ya raia, coz askari wote wameshindwa kazi na wao wanapewa kisago kama kawa.
hii inanikumbusha wakati niko shule serikali poa unakuta viongozi wanapigwa na raia afu serikali ya wanafunzi inashinwa cha kufanya coz inawaogopa wababe.
ndo serikali ya JK imeshindwa kudhibiti mpaka raia wanajichukulia sheria mkononi, kwa sasa ni kawaida waziri na hata Rais mwenyewe kupopolewa mawe na kuzomea. haya yamemtokea JK mwenyewe na mawaziri kadhaa. hii nchi tunakoelekea kwa sasa naona giza nene badala ya nuru. Mungu atuepushe na hizi vurugu.