Vurugu kubwa Arusha stend ya mkoa

Vurugu kubwa Arusha stend ya mkoa

Wizzo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
723
Reaction score
256
Kuna fujo znaendelea kati ya machinga na mgambo wa jiji..mgambo wamepgwa sio kawaida,polisi ndo wameingia kusaidia hapafai watu wamefunga maduka wananchi wanakimbia kila mtu anatafta kujiokoa
UPDATES
taarifa zilizopatikana ingawa hazijathibitishwa ni kwamba mgambo mmoja mwanamama amefarik dunia baada ya kupgwa sana na machinga hasa maeneo ya kchwani
 
Kuna fujo znaendelea kati ya machinga na mgambo wa jiji..mgambo wamepgwa sio kawaida,polisi ndo wameingia kusaidia hapafai watu wamefunga maduka wananchi wanakimbia kila mtu anatafta kujiokoa

Lema ni janga la taifa hyo bang alyovutaga haiish kchwan..wahun wenzake hao apo watalii wakchukua pcha ni hatar
 
Waite wanajeshi hapo juzi jumapili hao mgambo niliwaona hapo standi wanaowanea sana hao machinga lakini ccm wana hasira za kushindwa ndo maana wanafanya hivyo
 
Mbunge wao anaona bangi ndiyo msaada kwake acha watwangane siwajinga.
 
Lazima kuna tatizo la kiuongozi..

Leo kulikuwa na uzi unaoongelea vurugu kama hizi za Arusha huko Dar......

Au ndio bomu aliloliongelea Lowasa kwamba karibia linataka kupasuka?
 
Hatutakubali kuonewa kamwe kwa ajili ya nchi yetu sote tunahaki
 
mimi siyo kama wewe unatumiwa kama kondomu

Sku ukjtambua wenzako watakua mbali...endelea kupalilia ruzuku wenzako wale udanganywe na kuitwa kamanda..wenzako wapo machame mda huu wanakula mgao wa escrow wewe unatoa jasho kwenye keybord
 
Tens akome kabisa kilakitu lema lema amekujakuwa tatizo kubwa kwa ccm amewashika sehem nyeti sana wacha.tu walie watazoea.tu
 
Lema ni janga la taifa hyo bang alyovutaga haiish kchwan..wahun wenzake hao apo watalii wakchukua pcha ni hatar

Acha upuuzi wenu,hivi hao watalii ndo nni,yani raia tupate tabu tupige kimya eti kisa tukiongea watalii wataondoka.?hii nchi inavitu vingi hasingekua huyo zaifu wenu wala hatuna haja na hao watalii wenu..
 
Sku ukjtambua wenzako watakua mbali...endelea kupalilia ruzuku wenzako wale udanganywe na kuitwa kamanda..wenzako wapo machame mda huu wanakula mgao wa escrow wewe unatoa jasho kwenye keybord
mawazo yako ni mgando kabisa huna hoja
 
Back
Top Bottom