Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka?

Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo.

Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu

View attachment 1930478

Yote haya yameletwa na CCM:

1. Kutoandaa viongozi.
2. Magufuli akapata urais.
3. Akaendekeza ujinga.

Ni namna gani utawalaumu hawa machinga? This is how they adjust kuendana na uongozi
 
Back
Top Bottom