vunja mbavu zako.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Panya watatu walikuwa kwenye ubishi mkali na kujitamba.

Panya wa kwanza akasema ''mimi hata mtego waweke vipi sikamatwi,nina uwezo wa kuunasua na kufanya ninavyotaka,nani kama mimi?''

Panya wa pili akajibu ''mimi hata chakula iwekwe sumu gani ninaweza kula na siwezi kufa,nani kama mimi?''
Mara wakashangaa panya watatu anaanza kuondoka mdogo mdogo wakamwambia unaenda wapi wewe?
Akawajibu ''mi naenda kufanya mapenzi na paka''
Panya yupi ni zaidi ya wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…