I IKWETE JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 4,057 Reaction score 696 May 31, 2014 Thread starter #21 chaUkucha said: kanga moko si imepigwa marufuku pamoja na vigodoro, baikoko, mchiriku na mnanda? Click to expand... Kwenye vunja jungu watakuwepo
chaUkucha said: kanga moko si imepigwa marufuku pamoja na vigodoro, baikoko, mchiriku na mnanda? Click to expand... Kwenye vunja jungu watakuwepo
I IKWETE JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 4,057 Reaction score 696 May 31, 2014 Thread starter #22 mwata said: Miezi ya laana ndo ipi? Click to expand... Ni ile ambayo hitimisho lake ni vunja jungu
I IKWETE JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 4,057 Reaction score 696 May 31, 2014 Thread starter #23 Makamee said: Tafadhali sana ndugu kama unatangaza sherehe zako wewe tangaza lakini usihusishe na ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Click to expand... Mkuu wewe hujawahi kuvunja jungu?
Makamee said: Tafadhali sana ndugu kama unatangaza sherehe zako wewe tangaza lakini usihusishe na ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Click to expand... Mkuu wewe hujawahi kuvunja jungu?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,367 Reaction score 100,408 May 31, 2014 #24 LIKUD said: Wasabato wamo hadi JF? Kama ni hivyo basi mi najitoa!!! Click to expand... Kuna kosa tukiwepo? haya bhana nasubiri ujitoe hahahhaaaa happy sabath day
LIKUD said: Wasabato wamo hadi JF? Kama ni hivyo basi mi najitoa!!! Click to expand... Kuna kosa tukiwepo? haya bhana nasubiri ujitoe hahahhaaaa happy sabath day