Ww vunja jungu na mfungo havihusiaani na
Tarehe zinasogea.
Siku za kuanza mfungo zinakaribia.
Wote wenye mapenzi mema wani pm nakusanya michango kwa ajili ya shughuli hii muhimu.
Natarajia Ustadh Mzee Yusuph atakuwepo, Kanga Moko watakuwepo, na vinywaji vya kutosha.
Shime shime wandugu tuchangamke siku zimebaki chache.
Tafadhali sana ndugu kama unatangaza sherehe zako wewe tangaza lakini usihusishe na ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Makubwa haya! Ngoja sabato iishe ntarudi
Inalillah waina ilahi rajiun huu ni msiba mkubwa
Tarehe zinasogea.
Siku za kuanza mfungo zinakaribia.
Wote wenye mapenzi mema wani pm nakusanya michango kwa ajili ya shughuli hii muhimu.
Natarajia Ustadh Mzee Yusuph atakuwepo, Kanga Moko watakuwepo, na vinywaji vya kutosha.
Shime shime wandugu tuchangamke siku zimebaki chache.
Miezi mingine ni ya laana? Mi nasikitika tu biashara yangu ya kitimoto itakavyodorora kwa kipindi cha mwezi mzima.