Vua Ganda Vaa Gwanda-apewe zawadi aliyefikiria slogan hii

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
wana JF
Huwa siwezi ficha hisia zangu pale nionanapo kuna jambo jema limefanyika

kiukweli huyu mtu ndani ya CDM aliweza kuitengeneza slogan hii ya VUA GAMBA VAA GWANDA anahitaji pongezi ya hali ya juu

maana kwa upande wa pili CCM wao wanasema anaye jivua gamba inamaanisha anakuwa msafi na kuanza upya lakini upande wa pili unasema ukisha livua gamba hilo basi yakulazimu uvae gamba jingine nalo ni GWANDA la CDM

Hii inatia moyo sana kwa wanacdm na kiukweli ndani ya cdm kuna viongozi wanaoweza kutumia nafasi pale zinapojitokeza

HONGERA SANA KWA MTUNZI WA SLOGAN YA VUA "GAMBA VAA GWANDA" KWA MASLAHI YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom