VPN imenirudisha tena JF

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
980
Reaction score
860
Hello ndugu zangu,
Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya kuanzisha group lengine la kutoa huduma na elimu ya afya kwakua yeye alishakuwa kwenye cycle yangu anitonya then nimerejea.

🙏 Thanks all

 
Na mimi nipo Joburg hapa nakula popcorn🍿🍿🥤🥤
 
Hii habari ungeipeleka huko facebook, instagram au whatsapp ungesaidia wengi sana.
Hapa wengi tupo nje ya nchi na ndio maana tuna access na jf, na bila shaka ni wewe pekee ambae unatumia vpn.
Nipo Costa Rica kwa sasa kaka. 🤣🤣🤣
Naipeleka chap
 
Kwa Manufaa ya WanaJF wengine:
  • 1. Hakikisha unaifahamu vyema VPN unayotumia, sio kila VPN ni salama kwa data zako.
  • 2. Tumia VPN iliyothibitika na walio wengi kuwa ni Bora.

Je mimi natumia VPN ipi?
  • Hakuna VPN ninayotumia kwa sasa.
  • Natumia huduma toka Cloudflare WARP ( Ingia google/ tumia AI jifunze na uone ubora wa Cloudflare ); Ni bure na iko_fast kuliko VPN yeyote niliyowahi tumia huko Nyuma.

Je unafanyaje ili Cloudflare WARP

1. Tembelea official website:
Code:
https://one.one.one.one/
- Ikifunguka chagua App kulingana na kifaa chako: Mimi natumia kwenye Android phone na Windows PC

--

2. Share na wengine iwapo kuna kitu umejifunza.

---
Ukiwa connected Taarifa zako ni TZ kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…