VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa Phiri alipewa mechi tatu na afikishe point 7,alishinda JKT Ruvu,leo amepoteza...kwa hiyo hata akishinda mechi ijayo bado hatafikisha point 7......Haya uongozi wa Simba tunasubiri utekelezaji wa kauli zenu.
 
Hao simba wanawaweza yanga tu kwenye mabonanza......kuwafunga watani wao kwenye mabonanza ndio mpango mzima....huku kwingine hawana ubavu!
 
Haya matangazaji ya Azam maongo sana,eti Kapteni Okwi kagoma kuzungumza na mtangazaji
 
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa Phiri alipewa mechi tatu na afikishe point 7,alishinda JKT Ruvu,leo amepoteza...kwa hiyo hata akishinda mechi ijayo bado hatafikisha point 7......Haya uongozi wa Simba tunasubiri utekelezaji wa kauli zenu.

hafukuzwi mtu.
 
Asee zawadi ya ppasaka niliyopewa mmwaka huu,....acha tu
 
Back
Top Bottom