VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

Inaumiza sana,mashabiki wa Simba walijaa balaa.SIMBA UKAWA nawakubali hawakati tamaa
 
mpira umesimama hiki kipindi cha 2 nadhani mpira umechezwa dakika 30 tu
 
Ole wenu simba mng'oe viti tena. Kagera go go go mmefungua zawadi kwa vizuri leo.
Hao washapoteza leo, rahaaaaaa
 
Back
Top Bottom