VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

Kama kumbukumbu zangu zipo sawa Phiri alipewa mechi tatu na afikishe point 7,alishinda JKT Ruvu,leo amepoteza...kwa hiyo hata akishinda mechi ijayo bado hatafikisha point 7......Haya uongozi wa Simba tunasubiri utekelezaji wa kauli zenu.

walisema et baada ya hizo mechi tatu atoe taarifa tu.
Mambumbumbu fc
 
Mtamfukuza tu, mdudu wa sare kafa kaibuka mdudu wa kufungwa. UKAWA wamesema Simba itapoteza mechi 6 mfululizo, bado 5 tu ndipo Aveva atatambua uwepo wao.
Iwe kweli basi hiyo ya simba ukawa, tungoje hizo tano zilizobaki.
 
simba iipo kwenye mpangomkakati wa kuhakikisha wanashika nafasi ya tano msimu huu
 
Kwani NserukuMBOO hayumo?

Atupele Green ndiye Sserunmboo kwa leo. CC Ngarna, sembo (furaha yenu finito, niliwaambia muongee sana baada ya Mtani Jembe nikijua ligi ikianza lazima mtanuna tu), poleni zenu, hata sisi mlitubahatisha tu mkajigamba zaidi ya 2 weeks, sasa leo mmelikalia Libolo la Kagera Sugar.
 
Last edited by a moderator:
Mikia wamekimbia Jukwaa haooooo! Tahadhari: Jumapili msiwashangilie Azam tutawafunga tena na kuwaongezea machungu.
 
,furaha ya simba huwa ina xpire ligi inapo anza
 
Kwani Serrukamba, samahani,Serrunkuma hakucheza leo? Au Kagera wameleta kocha toka Angola?
 
Mbula ya labha nose ilatula! Ukushikutyuja mbiti ha shi gulu mho yalinduma imbula! Itashikagwa i mbula, nulu ukipela yukupandika ifulo kalunili! Otwala masuku ga ng'wiyo na gako galatwalwa du! Ng'wahi oshinga mu bhu nose ala lasa! CC. Masuke (Shinyanga ndani).
 
Last edited by a moderator:
Simba 0 Tibaijuka 1
Msubiri mtani jembe December 2015
 
Simba 0 Tibaijuka 1
Msubiri mtani jembe December 2015
Tibaijuka 1-0 Mkamia ...
Huwa najiuliza sana hivi hii mikia ilitufungaje kwenye NANI MTANI JEMBE!!!! mbona hata wakicheza na kariokoo ya lindi watapigwa tu hawa???
 
huwa siamini ktk nguvu za giza lkn nikifikiria simba wanavyoifunga yanga nashindwa kufuta kabisa dhana hiyo
 
huwa siamini ktk nguvu za giza lkn nikifikiria simba wanavyoifunga yanga nashindwa kufuta kabisa dhana hiyo
Inawezekana giza hilo linatokana na wachezaji wa Yanga kufumba macho wakati wa mipira ya faulo ama kurushwa kwenda golini kwao!
 
Back
Top Bottom