Whaaaat,,,,,?! ,nani mbabe wangu,?tulia mkuu mpira bado huu alafu kumbuka jumapili unacheza na mbabe wako rambaramba
we hawa wakishanda unapata faida ganiOle wenu simba mng'oe viti tena. Kagera go go go mmefungua zawadi kwa vizuri leo.
Hao washapoteza leo, rahaaaaaa
we hawa wakishanda unapata faida gani
we hawa wakishanda unapata faida gani
sitaki!!boxing day. Cheers!!!
Boxing day-tamu chungu
nimekuuliza weweKwan simba wakishinda wewe unafaidikaje?
Na mpira umekwishaaaaaaaaa Kagera 1- Simba O
sitaki!!
Simba kafungwa moja
Tulia dawa ikuingie vizuri, watu tuko kwenye boxing day. Cheers!!!
Tulia dawa ikuingie vizuri, watu tuko kwenye boxing day. Cheers!!!