Simba 0 - 1 kagera........wanashambuliana kwa zamu.
dan serenkuma nje anaingia said ndemla
uyu serenkuma movement zake sizielewi
Mngemchukua kiiza..uyu serenkuma movement zake sizielewi
Napenda matokeo yabaki hvi hvi ili tuone ligi ndo mtani jembe?
Halafu kazomewa kweli na washabiki....
Gemu ya simba ngapi ngapi
anatoka Serunkuma anaingia NdemlaHadi sasa 1-0 Simba kakaa, mpira haujaisha tusubiri dakika ya 90.