SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Mi ndio maana siingiagi kwenye uzi unaohusu mnyama bora mtu aweke wa yebo yebo nitibue tu aaaaghrr.
Imekuwaje ukaingia sasa.
Mi ndio maana siingiagi kwenye uzi unaohusu mnyama bora mtu aweke wa yebo yebo nitibue tu aaaaghrr.
kagera go!go!go!!
Hawa Kagera tuna bahati mbaya nao sana lakini leo ilitakiwa iwe siku ya kuwafundisha soka hawa jamaa.
Usijali, ZamaulidKagera piga hao simba warudi kusubiri mtani jembe ndo washinde!!
Mkuu hawa Kagera usiwachukulie poa kabisa, tuombe Phiri awe na plan B maana inavyoonekana plan aliyoingia nayo haijafanya kazi.Mpaka sasa sijaona chochote cha maana wanachocheza hawa kagera. Ushindi upo kwa simba kabisa leo.
Imekuwaje ukaingia sasa.
na ukumbuke wana hasira na issue ya mama Tiba...Usijali, Zamaulid
leo mnyama lazima anaswe kwenye mtego wa mwindaji kutoka kule Misenyi.
una utani wewe...subiri hasira za Tiba ziishie kwenu...wametumwa na mama wa escrow kuja kufanya kazi!!Simba go! Go! Go!