Huyo mama wa escrow mwenyewe anaipenda Simba yaani ni shabiki wa kutupwa na ikitokea Simba imefungwa anaumia zaidi kuliko hata kuombwa kuwapisha ili wateue mwingine.una utani wewe...subiri hasira za Tiba ziishie kwenu...wametumwa na mama wa escrow kuja kufanya kazi!!