Taifa vipi mbona kimya!!
Ndanda 0-2 simba.
ndanda watashuka pambaff watafungwaje na mikia
kama kipa Wa ruvu shooting ana gloves ajiandae kuvuliwa na washirikina Wa yanga
na Leo yanga wanapigwa
watamkoma masau bwire leo
Huu mfumo wa KAPUNOVIC sio NDANDA tu, timu nyingi sana zitafungwa!
Jamani PLUJIM na OMOG nani ataanza kutimuliwa?
mababu washirikina fc bila na ruvu shooting bila