VPL: 17 January 2015 live updates

"Yanga ni wa kawaida sana, na jumamosi tutawaonesha shoo taifa"
 
CCM Kirumba
Kagera vs Mbeya city bado bila bila...mpira wa kawaida sana
 
Huyu refarii anayechezesha game ya ndanda vs simba sijui ameokotwa wapi??? poor performance
 
Mpira wanatoa ndanda afu unapigwa kwenda simba
 
Huyu sserunkuma danny kanunuliwa kwa bei gani mbona kimeo sana,
 
Simba wamepata goli la pili. Mfungaji Maguli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…