VPL: 17 January 2015 live updates

Mwambie kabla hajaondoka kuelekea kaunta apitie hapa akiwa na mtu wa jikoni.
Leo wazee wa vikombe vyenye fwedha tupo hapa mpaka asubuhi, sherehe za Mapinduzi zinegongana na za Nangwanda stadium.
Teheteheteheeeeee

Haha.. We mhudumu hebu mpelekee komredi grafani11 anachotumia.
 
Last edited by a moderator:
magazeti ya kesho:
Yanga yatoka sare kwa mbinde sana
Yanga kwa sababu ya uchovu yatoka sare
Ruvu Shooting Yatumia uchawi kuikosesha yanga ushind
Yanga yatoka sare kibabe
Wachezaji Yanga walia na Refarii
Wachezaji Yanga walia na uwanja mbovu
Yanga washambuliaji wake washangazwa na ukosaji huu wa mabao.

Yanga hawakuweza kununua hii mechi wenye team waligoma so imechezwa uwanjan kiukweliukweli... na haikuwa imechezwa nje ya uwanja kabla kama kawaida ya Kanjubai.
namtaka Bantu Lady hapa maana huwa anakawaida ya kutoka jikoni kuja kuongea wanapoongea wanaume. sasa naona kaenda chumban.
 
Haha.. We mhudumu hebu mpelekee komredi grafani11 anachotumia.

Mkuu sembo kumbe huyu muhudumu analipaaa..nilikuwa sijamuona kwa karibu. Cheki mzigo huko nyuma, utansamehe mzee lazima niondoke nao...
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara ya kwanza namuona Makoye Matale anachungulia jukwaani then anasepa zake bila kuandika chochote. Tafadhali Makoye Matale jitokeze tukuone
 

Taulo lisiloonekana laikosesha dar es salamaaa Young Afrika ushindi. Yaahidi kumalizia hasira mechi ijayo.
 

Bado anapewa cha mwisho mwisho na mwenyewe, si unajua jamaa yake ni mzee wa Mtaa Mtukufu wa Msimbazi.
Wazee wa Msimbazi wakiona demu amevaa nguo ya kijani na njano idadi ya mabao inaongezeka hata hakuwa na mpango huo.
 
Kwa mara ya kwanza namuona Makoye Matale anachungulia jukwaani then anasepa zake bila kuandika chochote. Tafadhali Makoye Matale jitokeze tukuone

Dua la kuku limemrudia mwenyewe kama kinyesi cha popo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…