Vote for lara1

Vote for lara1

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Kimsingi lara1 nje na vigezo alivyo navyo vya kuwa miss jf chit chat, ana extra ordinary capacity katika kutoa ufafanuzi na ushauri wa maswala mbalimbali yanayoikumba jf, fuatilia mchango wake utajua haya niyasemayo ni kweli au si kweli, nje na hapo ni mtu wa watu.........mpigie kura lara1 uone kama utapoteza kura yako.
 
Back
Top Bottom