Volunteers au wageni toka Ujerumani

Volunteers au wageni toka Ujerumani

wakatiwetu

Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Volunters waliopo Arusha wanaozungumza kijerumani na wanahitaji mtu anayezungumza lugha yao ili kubadilishana mawazo. Napatikana, nataka nikuze lugha yangu ya german kupitia wao. Hakuna malipo. 0784673809. Nipo Arusha.
 
Upo arusha bus stand au clock tower?
 
Volunters waliopo Arusha wanaozungumza kijerumani na wanahitaji mtu anayezungumza lugha yao ili kubadilishana mawazo. Napatikana, nataka nikuze lugha yangu ya german kupitia wao. Hakuna malipo. 0784673809. Nipo Arusha.
Bwana umekutana na watu wa ajabu. Sijawahi kusikia habari za lugha ya "german". Je kuna uhusiano wowote na lugha nyingine uliyotaja ya "kijerumani"?? 🙂)
 
Nchi inaitwa Germany, yaani kuna "y" mwishoni LAKINI lugha inaitwa German, hakuna "y" mwishoni. Mtoa post anajua nini anafanya na yupo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom