pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,641
- 6,267
Itabidi, make bila kusoma tutaisoma namba.Imeandikwa muishi na sie kwa akili teh hivo someni volume zote
Imeandikwa muishi na sie kwa akili teh hivo someni volume zote
Ila wanaume wengi uelewa mdogo ndiyomaana wanawake tunaonekana wagumu
Kwa hiyo sio uzushi, Ili kuongeza huo uelewa inabidi kusoma Sana!.Uzushi tu. Wanawake ndiyo viumbe rahisi wa kuishi nao. Ila wanaume wengi uelewa mdogo ndiyomaana wanawake tunaonekana wagumu