Vodacom

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji wanazochat ? nitangulize shukrani kwa msaada wenu tumuokoe ndugu yetu
 
Mwambie aache wivu wa kijinga
Amkune sawa sawa huyo mke wake ili aache kutoka na jamaa
 
Kuna rafiki yangu hayupo JF ila ameniomba nimuombee ushauri, yeye anamhisi mkewe ana mahusiano na mtu mwingine na wanawasiliana kwa simu, je akienda ofisi za vodacom watamsaidia kuchapisha meseji wanazochat ? nitangulize shukrani kwa msaada wenu tumuokoe ndugu yetu
inawezekana bt ni smtin illegal labda achonge deal na ppo pale kama kuna m2 namjua.
very possible watampatia 2.
ila aache wivu bwana kama walivyoshaur hapo juu.
 
inawezekana bt ni smtin illegal labda achonge deal na ppo pale kama kuna m2 namjua.
very possible watampatia 2.
ila aache wivu bwana kama walivyoshaur hapo juu.

bwana obsesd huna unaemjua pale ili nimpe directive
 
Huyu rafiki yako si member wa JF ila anajuaga kuwa kuna JF inayotoaga ushauri! Anaogopa nini kujiunga kisha aombe ushauri mwenyewe? After all hatutumii I'd zetu halisi!!

Nway, next time mshauri ajiunge ili usijeuziwa kesi kama ya makaburini kwa kutokuwa na info zilizokamilika.

Baada ya kusema hayo: nijuavyo mimi taarifa hizi huwa ni confidential na kuzitoa ni kuviolate privacy ya mtu. Ila kama walivyosema wengine unawezacheza deal ukapatiwa hiyo printout.

But mbona kuna mbinu nyingi za kumkamata cheater kwa mtu makini?
 
namaanisha wamchapishie meseji zote mwanamke anazotuma na kutumiwa kwenye simu yake let say kwa last 6 month

ndo nakwambia HAIWEZEKANI, labda ale dili na mtumishi wa voda, na mke akienda kulalama wakacheki aliyeingia kwenye namba ya huyo mama(maana mitandao hurekodi ) kibarua cha huyo mtumishi kitakua mashakani
 
Mi nadhani mahali sahihi pa hili swali ni Vodacom penyewe,otherwise apatikane mfanyakazi anaehusika na mambo hayo humu ili akuambie wanatoa kwa utaratibu upi au hawatoi!
 
Imposible,sms zoote zinakuwa encrypted and there is no way to decreapt...
 
Haiwezekani kbc kupata hzo msg ndugu yangu...ht mhusika mwenywe angeomba ingehitaji sababu za msingi sn. Na member mmoja alivyosema kuwa mfanyakazi akiingiza namba kwenye system inajulikana so km kitumbua cha mama kikaingia mchanga afu akaenda kushtaki Voda huyo mfanyakazi hana kazi tna.
 
mkuu nikazii rahisi sanaa hiyo kama anamuhisi mke wake ana mtu njee..tumeanzisha campanies inayo itwaa {cheater solution campanies}...kutokana na malalamiko mengi ya jamii yetu kuhusu wanandoa au wapenzi kuwa cheat weziwao.katikaa hudumaa hii kinacho itajikaa ni maelezo yako,nasisii tutakusibitishia kwamba mke/mmeo au mpenzio kwelii anakucheat kwa visibitisho kamaa picha,video na print out za simu kwa garama nafuu...kamaa uko serious ni pm mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom