Angalia ulichoandika kama kinaeleweka. Soma ulichoandikaZamani kwa tsh ulikuwa unapata 500MB. Wakabadilisha kwa Tsh ukawa unapata 500 Unit ambazo bado zikawa sawa na 500MB. Sasa hivi kwa Tsh 500 unapa 300 Unit ambazo ni sawa na 300MB kwa wiki. Kwa mwenendo huu yajayo yanatisha...
kweli yajao yatatuua kabisa
Akija ajikite maeneo haya:-Angalia ulichoandika kama kinaeleweka. Soma ulichoandika
1.Zamani kwa tsh ulikuwa unapata 500MB na
2.Wakabadilisha kwa Tsh ukawa unapata 500 Unit ambazo bado zikawa sawa na 500MB.
zamani tsh500 unapata unit 500 kwa wiki ila sasa ni siku 3Mbona mm iko hivView attachment 798522
Halotel ndio majanga zaidi...BORA vodacom kuliko halotel kwa sasa
Sasa hivi hiyo 1500 tsh ni 1gb only 1gb ya usiku wameitoaMbona mm iko hivView attachment 798522
Zamani kwa tsh500 ulikuwa unapata 500MB. Wakabadilisha kwa Tsh500 ukawa unapata 500 Unit ambazo bado zikawa sawa na 500MB. Sasa hivi kwa Tsh 500 unapa 300 Unit ambazo ni sawa na 300MB kwa wiki. Kwa mwenendo huu yajayo yanatisha...