Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,994
- 54,132
Vodacom kazi ni kwako
Ulicho andika hata hazieleweki.Zamani kwa tsh500 ulikuwa unapata 500MB. Wakabadilisha kwa Tsh500 ukawa unapata 500 Unit ambazo bado zikawa sawa na 500MB. Sasa hivi kwa Tsh 500 unapa 300 Unit ambazo ni sawa na 300MB kwa wiki. Kwa mwenendo huu yajayo yanatisha...