Vodacom yapunguza gharama kwa wateja wake

Vodacom yapunguza gharama kwa wateja wake

Huo utafiti wako umeufanya saa ngapi? Mbona wanaweweseka sasa na bado kuna wale shareholders wanauza hisa zao.

#BoycottVodacom

Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
 
F uck you voda
 

Attachments

  • tapatalk_1564607484269.jpeg
    tapatalk_1564607484269.jpeg
    38.2 KB · Views: 25
BREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Nakumbuka kipindi kile alimwita lowassa ni malaya, ha ha ha eti malaya wa kisiasa
 
Ingekuwa huko ulimwenguni kwenye Soko la hisa Vodacom ingeshaporomoka vibaya rejea kisa cha Facebook!
 
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao

Hongereni wateja wa Vodacom!
Hivi na.mitandao mingine wana sim.banking? Vodacom kama waliniroga, lakini lazima.nihame hakuna.namna
 
Km wamepunguza sasa hv kwa akili ya kawaida ni kujaribu kuwafanya watu wasihame kufuata kampeni inayoendelea


Kama ni kweli wanafikiria kwa kutumia makamasi badala ya ubongo
 
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao

Hongereni wateja wa Vodacom!
Hili naliandika kwa uchungu sana. Vodacom umekuwa mtandao wangu pendwa kwa takribani miaka 25. Nmefurahia huduma zao kwa kipindi chote na imenisaidia pia kwenye maisha yangu. Ila kwa hili la kumzimia Kabendera mawasiliano, hata kama wamepata maelekezo toka juu, walivuka viwango vya juu vya kuvunja utu. Vodacom wangeweza kutoa taarifa zingine zote walizoombwa ila sio kuzima mawasiliano; huu ni uuaji na hauwezi kuvumiliwa na binadamu yoyote aliye hai. Kwa sababu hiyo, nami kwa namba hii .....00565 nawaaga rasmi.
 
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao

Hongereni wateja wa Vodacom!
Vodacom wajinga sana ,na sijui kama wana watu makin kwenye pricing ,hawana tofauti na mama n'tilie. Kuliko waangalie profit realised on the quantity sold ,wao wana-focus kwenye unit profit. Mm naona wanajiondoa kwenye biashara wenyewe. Nimetumia voda kwa zaidi ya miaka 10 lakin naelekea kuichoka. Hawana mikakati ya biashara endelevu, ni kama wapitaji au kesho wanaondoka. RIP Vodacom
 
Afadhali Mungu kaisikia sauti yangu nilolia miaka minne
ilopita na kutukanwa mbele ya forum hii,shukrani sana walolitibua upya
 
Back
Top Bottom