Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,672
Yaani mi nachukua hela zao na line navunja! Yaani nawapiga mpawa, then nawapiga songesha, huko tala na branch tiyari!
Huduma yao ya songesha ipo vizuri sana
Yaani mi nachukua hela zao na line navunja! Yaani nawapiga mpawa, then nawapiga songesha, huko tala na branch tiyari!
Pamoja ma yote hayo, please elewa namba ya simu ni Mali yako siku hizi, fanya porting utabaki ma namba yako mtandao wowote unaotakaHili naliandika kwa uchungu sana. Vodacom umekuwa mtandao wangu pendwa kwa takribani miaka 25. Nmefurahia huduma zao kwa kipindi chote na imenisaidia pia kwenye maisha yangu. Ila kwa hili la kumzimia Kabendera mawasiliano, hata kama wamepata maelekezo toka juu, walivuka viwango vya juu vya kuvunja utu. Vodacom wangeweza kutoa taarifa zingine zote walizoombwa ila sio kuzima mawasiliano; huu ni uuaji na hauwezi kuvumiliwa na binadamu yoyote aliye hai. Kwa sababu hiyo, nami kwa namba hii .....00565 nawaaga rasmi.
Yes mkuu mimi nimeenda jana CRDB PLC na kubadili namba ya simbanking!Hivi na.mitandao mingine wana sim.banking? Vodacom kama waliniroga, lakini lazima.nihame hakuna.namna
Tunababaika bure. Ni bahati mbaya mnawatuhumu voda kwa sababu upper class yote inatumia voda. Ndio maana wamekutwa kwenye cross fire. Ingewekazana kabisa kutokea mtandao wowote. Ingekuwa Zanzibar zantel isingeponyoka.
Ni suala la busara tu. Mie sihami. Wamenisaidia kuhakikisha kuwa napiga simu kwa kuweka mihadi tu.
utageuzwa jiwe la chumvi!Ebu weka vifurushi vyao tuone.
😂😂😂😂Wakafie mbali,huku tunapata gb 15 mwezi kwa elf 10
Sema: Wakati Watanzania 20 wanaojielewa wanaikimbia Vodacom, Misukule 200 wanasajiri laini za Voda! Mtu anayejielewa hawezi kuingia Voda kwa sasa wakati hata kashifa za kutoa taarifa za mawasiliano kwa wateja wake hazijapoa! Na kwa bahati mzuri misukule mingi hata pesa yenyewe hawana!!Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
Ndugu,ujasiri wa kumuita binadamu mwenzako msukule unaupata wapi?Sema: Wakati Watanzania 20 wanaojielewa wanaikimbia Vodacom, Misukule 200 wanasajiri laini za Voda! Mtu anayejielewa hawezi kuingia Voda kwa sasa wakati hata kashifa za kutoa taarifa za mawasiliano kwa wateja wake hazijapoa! Na kwa bahati mzuri misukule mingi hata pesa yenyewe hawana!!
Ndiyo unajidanganya, unajua gharama ya kutengeneza royal customer mmoja!Wakati Watanzania 20 mnawakimbia voda,Watanzania 200 wanasajili lain za voda.
USIKU MWEMA.
Hata akiondoka hana madhara Ccm ni chama cha watuBREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Mtandao gani huu, nihamie uko harakaWakafie mbali,huku tunapata gb 15 mwezi kwa elf 10
Of course ni misukule hususani kama wanafanya hivyo kwa tambo kwa kuona wanachokilalamikia watu ni upuuzi! Mtu anayejielewa hawezi kushabikia ushenzi unaofanywa na Vodacom na hauna justification yoyote! Kwamba eti wanatii mamlaka ni excuse ya kijinga kwa sababu issue iliyowaumbua VodaCom haina uhusiano na masuala ya kiusalama!! Ukichukulia akina Nape kwa mfano, the whole thing is purely politics! Dunia mzima minyukano ya kisiasa miongoni mwa wanachama wa chama kimoja ni jambo la kawaida na wala halina elements za kuvunja usalama wa nchi! Ukija issue ya Kabendera nalo ni jambo la kawaida kabisa! Sasa kampuni inatoa voice notes za watu waliokuwa wanazungumzia minyukano ya kisiasa ndani ya chama huo ni ukiukwaji mkubwa wa faragha za wateja, na wala sheria haiwalazimishi VodaCom kutii maagizo ya hovyo namna hiyo!! Lakini kwavile wanachojali ni biashara zao na sio maslahi ya wateja wao, ndo maana haishangazi kuona wanatoa taarifa kama hizo huku wakitokea wengine wakitetea kwamba eti wamelazimishwa!! Hawa wanatetea kwa sababu wanadhani wapo salama kwavile wanaunga juhudi huku wakisahau hata hao waliokumbwa na dhahama husika walikuwa ni key players kwenye kuunga mkono juhudi, lakini leo na wao ni main targets!!Ndugu,ujasiri wa kumuita binadamu mwenzako msukule unaupata wapi?
Yaani mtu anasajili lain ya voda kwa matumizi yake halafu wewe unamuita msukule kisa tu unaichukia voda?
Come on bro, try to respect your fellow humans.