WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
OK..Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!

Wakafie mbali,huku tunapata gb 15 mwezi kwa elf 10Kwa mshahara gani nilionao?View attachment 1168799
Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Hizi habari za facebook tutoleee hukuBREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Gharama ipungue ili watumiaji wapige simu kwa wingi muwadukue???Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Mkuu umenifanya nicheke usiku wote huu😂😂😂Nasema hata kama watapunguza siitumii tena ng'oo, huo ndio mtego wa kuwavuta watu wengi ili wawadukue viziri!😱
Kila la kheri.Hata wakati tunikimbia tbc1 mliokuwa mnasema hivyohivyo.Kesho nitahakikisha watu 20 wanavunja line za voda nitatupia picha mchana
Polepole atakuwa kafunikwa na propaganda za Musiba😂😂😂BREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Teh kwenye hii vita kumbe kila mtu ana kilio chakeAisee toka nimepeleka proposal yangu Vodacom mwaka jana wakaniona kama boya sijui kisa sina connection mule ndani....sina ham nao kabisa[emoji706]
Bei mpya hizi hapa.[emoji848]Pamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
Hiyo kampeni ni ziro impactsKm wamepunguza sasa hv kwa akili ya kawaida ni kujaribu kuwafanya watu wasihame kufuata kampeni inayoendelea
Unajua mtu unaweza kuzaliwa na ujinga, lakini UZEMBE ni wakujitafutia mwenyewe. Naona mleta mada ameona manufaa yakuubeba uzembe na akaufanya mali yake. HongeraPamoja na kelele za hapa na pale za wanasiasa Vodacom wanazidi kusonga mbele na sasa wamepunguza gharama za matumizi ya simu na mitandao
Hongereni wateja wa Vodacom!
SijaelewaBREAKING NEWS.....
Na Bollen Ngetti
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Hamphrey Polepole amebwaga manyanga kufuatia kutokubaliana na Kamati Kuu ya chama hicho kumrejesha chamani Waziri Mkuu Mjiuzulu Edward Lowassa na Mmiliki wa Vodacom 30% Rostam Aziz. Jitihada za kumbembeleza zinaendelea Great Wall Restaurant sasa. Tukiombee chama chetu tunapita katika moto.
#AchaWoga2020
[emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562][emoji1562]
Watz ni wafuata mkumbo tu.Nitaendelea kuwa na line ya voda kwaajili ya kupokea calls tu. Maana huu mtandao kwa sasa ni sawa na kutumia radio call.
Hahahaa....... Unapajua Igumbilo mkoani Iringa wewe!!!Leo ni ajabu kuandika thread bila kuitaja Chadema wala Mbowe, nilitegemea utamalizia na wabunge wa Chadema wapinga punguzo, hahaa.
BREAKING NEWS.....