Vodacom watusaidie pia pesa ilichotwa hazina juzi kuna laini yao pia ilitumika !

Hivi upinzani ndio mnapiga kelele za kipuuzi hivi??? Hii nguvu tungetumia katika kupigia kelele ajira, ongezeko bodi ya mikopo, mishahara kupandishwa, mawazo ya kuleta viwanda sambamba na kuishaur serikali mawazo mbadala... Tungekuwa mbali kama taifa. Kutumika ni mbaya sana
 
Tuna subiri kampeni ya jionde Vodacom inawezekana kwani sasa kuna motandao murua kama Halotel
 
Back
Top Bottom