technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,478
- 50,872
Kwanza nieleweke wazi kuwa sitetei mtu yeyote kwenye hili sakata la Vodacom na kesi ya Lema .
1: Watusaidie kupatikana kwa Ben Saanane.
2: Watusaidie kukamata pesa zilizoibiwa hazina na Lipumba maana kwenye maelezo ya CUF niliona namba za Voda pale.....
3: Watusaidie mawasiliano ya wezi wa pesa za escrow zilizochotwa stanibic maana kwenye riport ya Zitto namba pia ya Vodacom yakiwemo mawasiliano ya Rugemalila ,Ikulu na Singa Singa .........
4: Watusaidie pia kuwapata waliomteka Dr Ulimboka maana kwenye uchunguzi wa gazeti la Mwanahalisi kuna namba ya Vodacom........
5:Watusaidie kupatika kwa mawasiliano ya wabunge Wa CCM waliohongwa milioni kumi maana wengine waliwekewa pesa kwa awamu kupitia m-pesa....
Tuwe wa kweli kama tumeamua kutoka ushahidi lazima utolewe bila kujali ni nani kafanya huo uhalifu......
Vodacom kama hamtafanya hivyo basi nitaamini kuwa mnatumika kisiasa na some time mnafanya utakatishaji wa pesa.....
Mko na uwezo wa kutusaidia kabisa kama nchi saidieni Sasa kwa kutenda haki......
Haki sio tu itendeke Bali ionekane na kutendeka..........