Vodacom wamepunguza MB, sasa ni MB 1

Vodacom wamepunguza MB, sasa ni MB 1

Kama kawaida serikali ya ccm imelala usingizi. Halafu wanasema Hapakazituu, watu walio goigoi kifikra.

Kila kitu unalalamikia serikali hata mkeo /mpenz akiliwa uroda na jirani utailaumu serikali pia.... Kuna mitandao mingi tu yenye huduma bora kuliko hao voda kwani umelazimishwa kubaki hapo?
 
Lowasa huyo kashauri ili apate pesa yy na mwanawe c wanahisa..!!
 
Kila kitu unalalamikia serikali hata mkeo /mpenz akiliwa uroda na jirani utailaumu serikali pia.... Kuna mitandao mingi tu yenye huduma bora kuliko hao voda kwani umelazimishwa kubaki hapo?
Wewe ni kilaza kweli, unadhani madhumuni ya kuwekwa TCRS ni nini? Lazima wa regulate mambo kwani kulingana na uwezo wa mitandao hapa nchini kuna maeneo ambayo lazima utumie mtandao fulani kwani mingine haipo.
Na suala la kila mtu kupata mawasiliano ni haki ya kikatiba.
 
Lowas ni mmoja kati ya wenye hisa vodacom, unadhani pesa ya kampeni anaipata vipi? Huyu jamaa hafai kabisa kuwa rais!!
Chagua magufuri, ni mwaminifu!!

Una ushaidi?thibitisha..!
Acha maneno ya vijiweni+viroba.
 
Hii serikali inashirikiana nao kuiba cha msingi toka uko ww njoo tigo ww huku ni raha ingawa dosari zipo ila kidogo sana wizi wa kisenge hamna huku
 
Kibaya zaidi hata ujiunge saa ngapi ila kifurushi cha siku mwisho saa5:59 za usiku.
 
Ndugu zangu sasa naamini kuwa hii nchi imekuwa pango la walowezi na vibaka nashindwa kuelewa kwann VODA wametoa mb8 kwa sh 500 mpaka sasa mb1 serikali hii hovyo sana Mungu tusaidie tuitoe hii CCM madarakani.

Sasa mpendwa serikali ndio vodacom?
 
Ndugu zangu sasa naamini kuwa hii nchi imekuwa pango la walowezi na vibaka nashindwa kuelewa kwann VODA wametoa mb8 kwa sh 500 mpaka sasa mb1 serikali hii hovyo sana Mungu tusaidie tuitoe hii CCM madarakani.

Na kwa taarifa yako, lowasa ana hisa kwenye kampuni ya vodacom, sasa hapo sijui ni serikali au lowasa?
 
Kwani vodacome wamewang'ang'aniza wateja kuendelea kuwa wateja wao? Mambo mengine yanakera, kila siku kulalamika. Chukueni hatua mteja ni mfalme. (Hiyo ni hatua ya dharura)

Hata katika nchi zilizoendea Kuna wakati walifanyiwa kama sisi, wakaamua kuungana kwa kuanzisha vyama
. Mfano chama cha watumiaji wa huduma za simu. Lengo la vyama hivi ni kuona maslahi mapana ya wahusika yanalindwa. Mfano mzuri hapa nyumbani ni "umoja wa wafanyabiashara" chini ya uongozi wa Bw Mushi dhidi ya malalamiko ya mashine za EFD.

Mahtima Gandhi alisema "If you want to change the world you must change you first".
 
Usipitwe! Pata GB mara mbili zaidi! Nunua kifurushi cha mwezi cha Tsh 15000 upate GB 2. Piga *149*01# sasa! Vodacom, kazi ni kwako!
 
Na kwa taarifa yako, lowasa ana hisa kwenye kampuni ya vodacom, sasa hapo sijui ni serikali au lowasa?

Lowasa ndie anaendesha kampuni?unajua maana ya mtu kua na hisa kampuni flani?
 
Lowasa ndie anaendesha kampuni?unajua maana ya mtu kua na hisa kampuni flani?

Wewe ndio mburura kabisa, na uhaya wako, na kujifanyaga mnajua kila kitu, unajua lowasa anamiliki hisa kiasi humo vodacom? na rostam anamiliki ngapi?
Tatizo ushabiki umewajaa, tena ushabiki wa kijinga kabisa, eti hamtaki lowwasa asemwe kwa chochote, kawa malaika?
 
bora umeliambia kuna mijitu mipumbavu akili zao zmelowa kama pedi
 
Wacha usenge,jibu swali nililokuuliza.unajua maana ya kumiliki hisa kwenye kampuni?
Au unaleta mambo ya kushindwa kumtenganisha kati ya mangi na duka lake??
 
bora umeliambia kuna mijitu mipumbavu akili zao zmelowa kama pedi

Wewe ni ------,nani kasema lowasa hana hisa voda?nimeuliza mnajua maana ya mtu kumiliki hisa naona mnajibu maswali ambayo hamjaulizwa,ndo mana wakasema elimu,elimu,elimu.
 
Click more in the context of OLIGOPOLY market in micro economic issue for more ..... Kwa kujua hisa na kampun....
 
Hi, wadau,

Vodacom watoa MB 1 kutoka 8MB.. Kwa heri Vodacom karibu TIGO na Airtel. Huu ni wakat wa browser kubrowse internet kwa kasi ulimwenguni na habari mbalimbali ikiwemo kuingia JF-celerebirity.
 
Back
Top Bottom