Lowas ni mmoja kati ya wenye hisa vodacom, unadhani pesa ya kampeni anaipata vipi? Huyu jamaa hafai kabisa kuwa rais!!
Chagua magufuri, ni mwaminifu!!
Msilalamike mnamchangia fisadi Lowassa aende ikulu.
Nadhani Rostam na lowassa wanahusika kwa hili,wao wanamiliki hisa nyingi tu vodacom waulizeni
Kwani voda ni ya serikali? Hawa Voda ni wahuni kitambo unaweza kujiunga dakika 15 ukipiga utaongea dakika 12 zinaisha . wengine mbona tulisha wakimbia mda mlefu.
Msilalamike mnamchangia fisadi Lowassa aende ikulu.